Home
Unlabelled
miss vodacom tz 2008 akabidhiwa gari lake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nadhani mwaka huu watz wameridhika kwanza si mhindi,pili hakutoke DSM,hapo mtu akileta nongono huyu ana lake jambo. CHA MSINGI AFUNDISHE JINSI YA KUJIANGUSHA JUKWAANI miss WORLD na sisi tunaweza tukasikika duniani.ajipige mweleka kama miss usa ktk miss universal,
ReplyDeleteWAZO LA MSINGI HILI MZEE WA NANII WAFIKISHIE KAMATI YA MISS TZ
Haya mama hongera kwa kujinyakulia gari kazi kwako kama hujui kuendesha tafuta dereva mwenye leseni kuokoa ajali za barabarani.Kweli we ni mrembo lakini mi mnaniuzi mkiongeza hizo nywele za bandia? mnakuwa soo artificial. Naamini majudge walikuwa fair, hongera sana wa kukaya.
ReplyDeleteHivi mnajuwa hizo nywele za bandia zinatoka wapi? ni INDIA, jana tu nilikuwa naangali BBC THREE hapa LONDON, JAMILIA, huyu ni mwanadada mwanamusiki toka BIRMINGHAM - UK alitaka kujuwa wapi nywele bandia zinatoka ambazo celebrities na akina dada wanafanya extension, basi akafanya safari kwenda India akafika sehemu inaitwa CHANNAI, anyway sijuwi kama nimepatia spelling ya huo mji!! akakuta kuna utaratibu wa kitumwa/slavery wa watu wote kukata nywele zao kila mwaka mara moja kataika majumba yao ya kuabudu mungu kama sadaka/ritual, na malipo yao ni kula pilau tu hapo kwenye Temple, na Temple uuza nywele hizo kwenye viwanda vinavyotengeneza hizi human hair kama tuzijuavyo sisi wanunuzi, akaende mji mwingine akakuta watu wanachakurachakura nywele kwenye majalala watu wamenyoa na kuzitupa wao wanaokota na kwenda kuziuza kiwandani, ni biashara kubwa sana India, watoto wengine maskini ya mungu ni miaka mitatu hawajuwi kinachoendelea walikuwa wananyolewa kwa nguvu pale Temple wakilia vibara vikitoa damu kwa kukata na visu vya kianyeji vya kunyolea hadi JAMILA alitoa mchozi. Should we think it twice, nahisi zingine i za maiti toka hospitali. Then the issue of human rights should come into this?
ReplyDeleteWE MDAU WA TATU ACHA KUPOTOSHA WATU,NYWELE BANDIA ZINATENGENEZWA KUPITIA PLASTIC,WANAYEYUSHA NA KUWEKA CHEMICAL FULAN.USIPOTOSHE UMMA
ReplyDeletewewe anon. wa saa 3:46, hebu ongea point iliyokufanya uandike acha habari za kutueleza nywele zinatoka wapi, siyo mada ya miss Tz aliyeshinda, au unataka kutambulisha umma uko UK? ambao hawakuona hiyo prgm ya Jamelia watakua ni wachache sana, kwa hiyo wote tuanze kuandika kuhusu ile prgm?
ReplyDeletehata mimi nimefurahi finally mwanza tumetoa the true queen. that what we call miss tanzania wa ukweli.
ReplyDeleteAcheni ushabiki washikaji, huyu demu hamna kitu, angalieni vema. Sijui kwa nini hawakuchagua Mhindi? Hashim, umekosa kabisa hata Mwarabu?
ReplyDeleteHAYA TENA MWAKA HUU KIDOGO TUPO KARIBU NA UKWELI LAKINI HUYU MISS TANZANIA WA MWAKA HUU MSOMALI HUYU JAMANI..........MISS MSOMALI
ReplyDeleteMchangiaji wa pili alieleza kuhusu nywele za huyu dada mshindi na akasema yeye anaudhika na hii hali ya akina dada kufa-extension ya nywele zao ndipo hapo nikakumbuka jana tu niliona hii documentary katika BBC THREE Jamila akifanya research juu ya wapi hizi nywele zinatoka, ndipo nikaona bora nichangia hisia za huyu mchangiaji hapo juu wala sikuwa na maana ya kuonyesha kuwa niko LONDON kwani kwangu hiyo si big deal kama wewe unavyohisi kwani LONDON ni sawa na sehemu ingine yoyote hapa duniani, kwa taarifa yako tu maisha ya watu hata wa Dar es salaam baadhi yao ni mazuri kuliko hata ya baadhi ya watu hapa LONDON, mwisho kuna mtu mmoja anabisha kuwa nywele hazitokani na nywele za watu, zama hizi za utandawazi hili unaweza kulidhibitisha hata kwa ku-browse kwenye internet, BBC wana hii kitu inaitwa I-PLAYER program unaweza kuona vipindi vilivyopita kwenye internet tumia hiyo uone hiyo documentary I am talking about, nywele zinatokana na nywele za watu hilo halina ubishi na ndo the best kuliko zitokanazo na source ingine yoyote kama zipo, anasema nywele zinatokana na plastic, plastic gani hiyo huo ni uzushi kwani plastic yenyewe pia ni product from another raw materials (mabaki katika process ya kusafisha mafuta), pia zijamlazimisha mtu andike mimi nilichoandika na wala hakukuwa na condition yoyote katika picha humun kwa Michuzi whom I respect the legend, the photogapher maestro kuwa tuandike juu ya nini kuhusiana na picha hizo, ebu achani hasira zisizo na base be constructive tujaribu kuwa wastaraabu, lakini pia nashukuru kwa vile huu uwanja unaonyesha tukoja na tunajifunza communication muafaka katika jamii. Ni uwanja wa kuelimishana na wala sijasema dada aliyeshinda amefanya vibaya kuvaa nywele bandia, nahisi wewe ndo ulitaka kuonyesha kuwa upo UK, hata hivyo hakuna sababu ya kufanya hivyo kwa vile sikuacha profile yangu hapo sasa itanisaidia nini mimi kuonyesha kuwa nipo UK bila profile yangu hapo, wala haingii akili mwa hata mtu mwenye akili za kawaida ambaye si genius, I mean it does not click into even the inside of an ordinary person as it does not need a rocket science to disgree with your arguement. You know what? these kind of arguemenst utlimately will make some people not contributing in here even if they have some great ideas.
ReplyDeleteMCHANGIAJI WA TATU HAPO JUU.
ok, sitaki kutoka kwenye main topic ambayo ni Miss TZ. Ila nataka tu kusema kuwa Anony wa 3:46 hayuko totally off. Hair extension zipo za aina 2; artificial na zipo zilizotokana na nywele za watu. Hizi za nywele za watu actually ni gharama zaidi na ni biahara kubwa nchi nyingi za Asia, sio India peke yake. Matajiri wenye hela kama mastaa wa muziki, movie na mamodel wanaoweka extensions huwa wanachagua hizi za kutokana na watu zaidi. Wengi wao huwa wanajua kuwa zinatokana na watu na inasemekana quality ni bora zaidi
ReplyDeletenyinyi watu washamba sana,mimi nilikiona kipindi cha Jamelia kwenye BBC3 tena kilikua kinaitwa jamelia:whose hair is it anyways!
ReplyDeletekama alivosema anon 3:46 na anon 1:55.. kuna two weaves - synthetic na human hair. synthetic ndio haya ma plasticki kama african queen,rasta(braids) na dream girl. Human hair ndio kama milky way,sensations. hizi 100% human hair ni nywele za binadamu na ni za asili ya asia. they come from chennai,india some from indonesia.it is TRUE FACT acheni kukandia vitu hamko 100% sure. nyingine ni 70% human hair 30% synthetic. do your homework before you contradict
is this area for Miss TZ comments or hair jamani?
ReplyDeletemiss ameshinda kiuhalali, ila sitegemei ushindi wowote kutoka miss world.
ReplyDeletenywele za hyu dada ni plastiki, mtanzania anayeweza kununua nywele za kweli atakuwa tajiri sana. Sidhani kama yupo hapa, wala si msichana kama huyu. Hana hizi hela.
Hata mastaa wengine wakubwa wanavaa plastiki tu kama sisi.