jukwaa la fainali za miss vodacom tz 2008 lilipambwa na kupambika
miss vodacom tz 2007 richa adhia akimkabidhi taji la miss tz 2008 mrithi wake nasreem karim
miss vodacom tz 2008 nasreem karim akifurahia ushindi akiwa na mshindi wa pili sylvia mashuda (shoto kwake) wa tatu pendo laizer (kulia kwake) na mshindi wa tatu ambaye pia ni mshindi wa taji la balozi wa redds 2008 angela luballa na wa tano fay anthony (shoto, wima)
miss vodacom tz 2007 richa adhia akipozi na mshindi wa pili wa miss tz 2008 sylvia mashuda toka ilala
miss vodacom tz 2007 richa adhia akimpongeza mshindi wa tatu pendo laizer toka miss vyuo vikuu
mrembo sylvia mashuda akipokea taji la kuwa miss tacaids 2008
meneja wa kilaji cha redds george kavishe akimpongeza balozi wa redds 2008 huku balozi wa redds victoria martin akishuhudia baada ya kuvua taji na mkumvika mrithi wake
kocha wa taifa stars marcio maximo (kulia) akiwa na majaji wenzie wa miss vodacom tz 2008
miss vodacom tz 2007 richa adhia akiaga umalkia wa urembo nchini kwa furaha na fahari
kumi bora wa miss vodacom tz 2008
tano bora
jose chameleone kama kawaida yake akisusa jukwaa na kutumbuiza katikati ya mashabiki
warembo wa miss vodacom tz 2008 katika vazi la ufukweni
mina nawe toka sauzi alikuwepo kuonesha minjonjo yake
jose chameleone toka ukweni uganda akichengua mashabiki usiku huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Dah huyu Fideline Iranga hapendezi kukata nywele sijui kwanini hawamshauri.

    ReplyDelete
  2. hili dudu fide kila sehemu halikosi,maskini jeuri kweli hili sijui visenti anapata wapi,khaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Hilo sio vazi la ufukweni acheni kutuyayusha

    Londoner

    matembezini ufukweni Ibiza

    ReplyDelete
  4. mwacheni Fede wetu jamani

    ReplyDelete
  5. nisaidieni jamani huyo niliye mwoma ktk picha mnaye muita FIDELINE IRANGA ninani?namaanisha wasifa wake.naomba wanablog msinichunie plz!

    ReplyDelete
  6. naombeni wataalam wa sayansi ya miili ya binadamu mnieleweshe, hivi kwanini asilimia kubwa ya wasichana wa kibantu wana miili jumba na makalio makubwa? je inaweza kuwa nikutokana na kutojali physical fitness na taratibu sahihi za makulaji ili kurekebisha shep za miili yao au niviasilia[genes]zinafanya kazi hiyo?
    nategemea majibu toka kwa wataaluma

    ReplyDelete
  7. ngoja nikujibu,fideline iranga ni binti,anayependa kujishugulisha na uanamitindo mbali mbali,designer mzuri tu katika mammbo ya urembo.pia waosha vinywa wamekuwa wakimchukia bila sababu yeyote sijui kwa sababu gan,ila nafikiri nimekujibu kwamba fide anajishugulisha na uanamitindo

    ReplyDelete
  8. anon 9:58 acha pumba

    na wewe anon 9:52 what are you talking about?

    ReplyDelete
  9. nashukuru sana kwa majibu yako kuhusu fideline,maana wengine hatuko tz sasa inakuwa taabu kidogo kujuwa watu wapya wanao ibukia ktk fani tofauti,inshalah blog zina tu keep up to date. sasa zaidi sijui ila naona anonny mwingine kaibuka eti mwenzie katoa pumba sasa sijui kaniingiza taun au niaje?

    ReplyDelete
  10. anonymous wa saa7:48 PM nadhani umeelewa vizuri swali langu linahusu miili ya asilimia kubwa ya wasichana wa kibantu kwanini huwa ni mikubwa,na buto.. pia kubwa?je ni genetical determination au ni kutofuata taratibu za mazoezi ya mwili na ulaji sahihi huwafanya wadada hawa wa kibantu wengi wao kuwa na shep za namna hiyo?au kisicho eleweka hapa ni neno wabantu? anyway nachozungumzia ni watu weusi,sio wabantu kama sehemu ya mchanganuo wa watu weusi wakiwemo nilotics,bantu,e.t.c
    hapa hata wamarekani weusi wamo,wasomali,n.k nadhani ugonvi umekwisha na samahani kama nawewe ni mmoja wa walioguswa ktk kundi hilo,naomba niweke sawa sijasema ni wabaya au wazuri nacho sema ni nini sababu ya kuwa walivyo??

    ReplyDelete
  11. unaesema si vazi la ufukweni, viatu je?
    mbona hamlalamiki nchi nyingine wanavyovaa viatu na beach wear?
    hilo ni jina tu, lakini kinacholengwa hapa ni kuwaweka wazi kadiri iwezekanavyo. miili yao ionekane kwa kadiri inavyowezekana.
    Wazungu toka awali wanaamini msichana akivaa viatu virefu bila nguo (au nguo zinazoacha miguu) anapendeza sana, basi ndio tunaiga manake tunaona ni jambo zuri!!!

    ReplyDelete
  12. inaelekea mambo yalikuwa mazuri sana, mamisi wa mwaka huu walikuwa cute wote, mimi kumi bora yote niliipenda!!
    wacha tano bora na mshindi pekee.
    uwakilishi huko miss world, bado sana, waende tu kama sehemu ya zawadi.
    Sisi hapa tutafanya kama wenzetu walivyofanya mwaka jana, wakati wao wanafanya mapya,

    ReplyDelete
  13. Ano. 12:45 hamna lolote bado ndio maan mkamweeka maximo kwenye meza ya majaji kwa sababu anadate huyo miss sio alafu unajifanya una mitazamo kazi yake soka na timu ajaenda popote sasa mmemleta kwenye sketi ili aweze kufavour mtu wake. Hamna jipya ndio maana hatutokwenda popote rushwa kila mahali kaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...