
jukwaa la fainali za miss vodacom tz 2008 lilipambwa na kupambika

miss vodacom tz 2007 richa adhia akimkabidhi taji la miss tz 2008 mrithi wake nasreem karim

miss vodacom tz 2008 nasreem karim akifurahia ushindi akiwa na mshindi wa pili sylvia mashuda (shoto kwake) wa tatu pendo laizer (kulia kwake) na mshindi wa tatu ambaye pia ni mshindi wa taji la balozi wa redds 2008 angela luballa na wa tano fay anthony (shoto, wima)

miss vodacom tz 2007 richa adhia akipozi na mshindi wa pili wa miss tz 2008 sylvia mashuda toka ilala

miss vodacom tz 2007 richa adhia akimpongeza mshindi wa tatu pendo laizer toka miss vyuo vikuu

mrembo sylvia mashuda akipokea taji la kuwa miss tacaids 2008

meneja wa kilaji cha redds george kavishe akimpongeza balozi wa redds 2008 huku balozi wa redds victoria martin akishuhudia baada ya kuvua taji na mkumvika mrithi wake

kocha wa taifa stars marcio maximo (kulia) akiwa na majaji wenzie wa miss vodacom tz 2008

miss vodacom tz 2007 richa adhia akiaga umalkia wa urembo nchini kwa furaha na fahari

kumi bora wa miss vodacom tz 2008

tano bora

jose chameleone kama kawaida yake akisusa jukwaa na kutumbuiza katikati ya mashabiki

warembo wa miss vodacom tz 2008 katika vazi la ufukweni

mina nawe toka sauzi alikuwepo kuonesha minjonjo yake

jose chameleone toka ukweni uganda akichengua mashabiki usiku huu
Dah huyu Fideline Iranga hapendezi kukata nywele sijui kwanini hawamshauri.
ReplyDeletehili dudu fide kila sehemu halikosi,maskini jeuri kweli hili sijui visenti anapata wapi,khaaaaaaa
ReplyDeleteHilo sio vazi la ufukweni acheni kutuyayusha
ReplyDeleteLondoner
matembezini ufukweni Ibiza
mwacheni Fede wetu jamani
ReplyDeletenisaidieni jamani huyo niliye mwoma ktk picha mnaye muita FIDELINE IRANGA ninani?namaanisha wasifa wake.naomba wanablog msinichunie plz!
ReplyDeletenaombeni wataalam wa sayansi ya miili ya binadamu mnieleweshe, hivi kwanini asilimia kubwa ya wasichana wa kibantu wana miili jumba na makalio makubwa? je inaweza kuwa nikutokana na kutojali physical fitness na taratibu sahihi za makulaji ili kurekebisha shep za miili yao au niviasilia[genes]zinafanya kazi hiyo?
ReplyDeletenategemea majibu toka kwa wataaluma
ngoja nikujibu,fideline iranga ni binti,anayependa kujishugulisha na uanamitindo mbali mbali,designer mzuri tu katika mammbo ya urembo.pia waosha vinywa wamekuwa wakimchukia bila sababu yeyote sijui kwa sababu gan,ila nafikiri nimekujibu kwamba fide anajishugulisha na uanamitindo
ReplyDeleteanon 9:58 acha pumba
ReplyDeletena wewe anon 9:52 what are you talking about?
nashukuru sana kwa majibu yako kuhusu fideline,maana wengine hatuko tz sasa inakuwa taabu kidogo kujuwa watu wapya wanao ibukia ktk fani tofauti,inshalah blog zina tu keep up to date. sasa zaidi sijui ila naona anonny mwingine kaibuka eti mwenzie katoa pumba sasa sijui kaniingiza taun au niaje?
ReplyDeleteanonymous wa saa7:48 PM nadhani umeelewa vizuri swali langu linahusu miili ya asilimia kubwa ya wasichana wa kibantu kwanini huwa ni mikubwa,na buto.. pia kubwa?je ni genetical determination au ni kutofuata taratibu za mazoezi ya mwili na ulaji sahihi huwafanya wadada hawa wa kibantu wengi wao kuwa na shep za namna hiyo?au kisicho eleweka hapa ni neno wabantu? anyway nachozungumzia ni watu weusi,sio wabantu kama sehemu ya mchanganuo wa watu weusi wakiwemo nilotics,bantu,e.t.c
ReplyDeletehapa hata wamarekani weusi wamo,wasomali,n.k nadhani ugonvi umekwisha na samahani kama nawewe ni mmoja wa walioguswa ktk kundi hilo,naomba niweke sawa sijasema ni wabaya au wazuri nacho sema ni nini sababu ya kuwa walivyo??
unaesema si vazi la ufukweni, viatu je?
ReplyDeletembona hamlalamiki nchi nyingine wanavyovaa viatu na beach wear?
hilo ni jina tu, lakini kinacholengwa hapa ni kuwaweka wazi kadiri iwezekanavyo. miili yao ionekane kwa kadiri inavyowezekana.
Wazungu toka awali wanaamini msichana akivaa viatu virefu bila nguo (au nguo zinazoacha miguu) anapendeza sana, basi ndio tunaiga manake tunaona ni jambo zuri!!!
inaelekea mambo yalikuwa mazuri sana, mamisi wa mwaka huu walikuwa cute wote, mimi kumi bora yote niliipenda!!
ReplyDeletewacha tano bora na mshindi pekee.
uwakilishi huko miss world, bado sana, waende tu kama sehemu ya zawadi.
Sisi hapa tutafanya kama wenzetu walivyofanya mwaka jana, wakati wao wanafanya mapya,
Ano. 12:45 hamna lolote bado ndio maan mkamweeka maximo kwenye meza ya majaji kwa sababu anadate huyo miss sio alafu unajifanya una mitazamo kazi yake soka na timu ajaenda popote sasa mmemleta kwenye sketi ili aweze kufavour mtu wake. Hamna jipya ndio maana hatutokwenda popote rushwa kila mahali kaaa
ReplyDelete