Hii yote ni katika kusindikiza MK Music Galaxy ambao wameleta mambo mazito ambayo wengi mmekuwa mnayakosa katika mitandao mingine.
Katika MK Music Galaxy hivi sasa unaweza:
1: kupata Ringtones za bure kwa ajili ya simu zenu za mikononi,
2: Unaweza kusikiliza Nyimbo mpya kabisa na zile za zamani moto moto ambazo hazipo ktk website yoyote ile ya kibongo.
3: Unaweza kujiandikisha na kutuma picha zenu za Harusi, Birthdays na mambo mbali mbali. MKMG Hawana limit ktk kutuma picha, tumeni picha mtakazo zenye size yoyote ile na m-share na ndugu, jamaa na marafiki mlio mbali nao.
4: Unaweza kujiandikisha na kuanzisha au kuchangia mijadala mbali mbali kuhusu Tanzania na ulimwengu kwa ujumla . Tumia demokrasia yako na zungumza utakacho kwa uhuru.
Mambo yote hayo nenda http://www.mkmusicgalaxy.com
Mambo mengine makubwa zaidi yapo njiani hivyo mkae mkao wa kula na kufaidi.
MK MUSIC GALAXY - EXPLORING THE TANZANIAN MUSIC.


jamani samahani kwa HILI kwa wale litakao wagusa,naomba tu kuulizahivi sikuhizi tanzania warembo wamekwisha au nakosea kutofautisha kati ya vigezo vinavyomfanya msichana kuitwa mrembo na vyakumfanya aitwe mzuri?
ReplyDeletenajuwa hakuna mtu mbaya duniani maana wote tumeumbwa na mola na hakuna aliyechagua kuumbwa kwa jinsi alivyo,pia kabla hujafa hujaumbika, lakini hawa kweli ndio warembo wa tanzania kama ilivyo kwa ujumla wake?
mtanisamehe jamani huenda uzee umeanzakuniingia na macho yangu hayaoni vizuri,au labda ni athari za kuona wasichana wa races tofauti na ya kwangu kwa muda murefu kunaniathiri?
tafadhali msiniponde huenda nahitaji kusaidiwa nisiwe mimi ndio naathirika wapendwa!
Unaona vizuri tu ndugu yangu! Naona wadada wamechoka kutumiwa na kina Lundenga. Warembo wa mwaka huu wengi hawana vigezo, wabaya sana jamani.
ReplyDeletemngekuwa mnatuachia jamanai tupate hizo nyimbo bure aka!kila kitu pesa tu!tuacheni kuteremshe nyimbo bureeeee!!
ReplyDelete