Meneja Matangazo na Promosheni wa kampuni ya simu za mkononi ya
Tigo, Redemptus Masanja (kulia), akikabidhi zawadi kwa mshindi wa
shindano ya Mrembo wa Nane Nane, Diana Saidi kwenye ukumbi wa Hoteli
ya Oasis, mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ni mdhamini mkuu wa
sikukuu wa Nane Nane itakayoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma.
Mmoja wa washiriki wa shindano la kumtafuta mrembo wa Nane Nane
lililofanyika kwenye Hoteli ya Oasis mjini Morogoro, Amina Nasibu
akipita jukwaani wakati wa shindano lililodhamniwa na Tigo ambao ni
wadhamini wakuu wa sikukuu ya Nane Nane itakayoadhimishwa kitaifa
mkoani Dodoma.
Meneja Matangazo na Promosheni wa kampuni ya simu za mkononi ya
Tigo, Redemptus Masanja, akikabidhiza wadi kwa mshindi wa shindano ya
Mrembo wa Nane Nane, Diana Saidi kwenye ukumbi wa Hoteli ya Oasis,
mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Tigo ni mdhamini mkuu wa sikukuu wa
Nane Nane itakayoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa shindano la kumtafuta mrembo wa Nane Nane
lililofanyika kwenye Hoteli ya Oasis mjini Morogoro wakipita jukwaani wakati wa shindano lililodhaminiwa na Tigo ambao ni wadhamini wakuu wa sikukuu ya Nane Nane itakayoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma.


Wow! hiyo nguo ya hapo juu picha ya pili.....nimeipenda sana walivyopangilia color na jinsi ilivyompendeza huyo mwanadada....
ReplyDeleteHuyo wa kwanza mmmmh sisemi nisije nikasutwa bure
ReplyDeleteMichuzi yaani hao akina wawili wa picha 2 za chini wanapendeza kuliko wale waliokuwa wanawania.....juzi.Sijui kama naangalia vibaya.
ReplyDeletehuyo wa kwanza anaitwa afande sele mkali wa rhymes naona anyata miondoko ya kinyaunyau
ReplyDelete