WANA TECHNOHAMA UNIVERSITY COMPUTING CENTRE - MWANZA BRANCH WAKIAGA MWAKA NA KUJIPONGEZA KWA KAZI! AUGUST 2008!
"...mie naahidi kula mzigo mpaka asubuhi kila siku..."
dah! nyama mbona hamna hapa...
hizi nyama wangezipata fc bongo wangepunguza mzozo
yaani kwa vile hatujachanga ndio watunyime laga??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HAHAHAHAHAHAHAHAHA lol du aisee hizi picha zinachekesha , yaani jamaa wanaaga mwaka August !!!!! ?????? Nadhani masuala ya c++, c, sql, na java yamewaathiri, at least jamaa wamepata nyama aisee, mdau mniko mbona simuoni?

    ReplyDelete
  2. Tatizo la bongo bado tupo nyuma kiteknolojia,maana hapo nyie ndo mnaonekana wataalamu lakini software mnazo develop wenzenu walizifanya miaka ya sabini,hivyo nyie wataalamu inabidi muwe creatives, wenzetu nchi zilizoendelea kiteknolojia wanafanya reserch na kudeevelop software kwa ajiri ya miaka ijayo.

    ReplyDelete
  3. Michuzi we noma mwanangu, Yaani leo nimecheka ile mbaya kuangalia hizi picha na maneno yake...

    I have never seen this before from any blog. This is the best of the best.

    Endelea namna hii ya kutafsili picha na kuweka maneno yake.

    This is pure comedy.

    ThAnKs.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...