AY anasema jina la track hiyo ataitoa baadaye baada ya kukamilisha utaratibu wa kusajili, ambapo video ya track hiyo ataenda kuifanyia huko Lagos ambako P-Square wamempa mwaliko na offer ya kwenda huko ili wamtangaze zaidi kwenye soko la Afrika Magharibi. Mwenye jezi ya tanzania ndio Hermy B (producer) na mwenye tshirt nyekundu anaitwa J Martins (kaka wa p square na ndio producer wao).
Home
Unlabelled
ay na P Square wafanya track pamoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EBWANA DAAA! CANT PICTURE THE COLLABO. ITAKUA BOMBA. CEMA CIJAKUBALI MAT-SHIRT YAO YA MG'ALO. P.SQURE WANAHITAJI DESIGNER TOKA BONGO. HAIBU!!!!
ReplyDeleteMULOX
Hii habari ni nzuri sana Balozi Mithupu, lkn hapa ndo tunahitaji maboresho kwenye blogu yako japo yale maboresho ya awali yaliltea kwikwi mpaka ukanyoosha mikono juu. Kwa ufupi habari hii ingeunganisha na nyimbo hiyo yani ingekuwa imetulia ajabu..Naomba kuwakilisha.
ReplyDeleteThere you go Ambwene..!!!
ReplyDeleteSafi sana pasua anga brother, hard work with focus pays....
Mdau
Angalia wasije wakakutapeli hao. Wanazwea wakupe hata sauti ya uongo hao. Mkataba usaini na usiwape cash, western Union kabisa hao ...lol
ReplyDelete