Meneja Mkuu wa AY&R Group, kampuni ambayo Silver Bullet ni sehemu yake, Belinda Buchner (katikati) akiweka saini mkataba baina ya Silver Bullet na NBC, mkataba ambao umeiteua rasmi kampuni hiyo kusimamia masuala ya mahusiano ya NBC. Kulia ni Mkuu wa Huduma za Wateja Wadogo Wadogo wa NBC (Head of Retail Banking) Johan Vermaas na kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Wateja wa Silver Bullet Jessica Kagendo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mbona mkataba anasaini dada peke yake? kawaida zinakuwa kopi mbili halafu wanabadilishana. Halafu huyo wa kulia na kushoto mbona wanamshangaa binti kati kati, hiyo event kabla ya kuita waandishi na kuipublish inabidi wajiandae vizuri, binti amepozi vizuri, lakini hao wawili kwa kawaida mikono ilitakiwa ikae mezani na tabasamu walau kidogo!!

    ReplyDelete
  2. Ukion hivyo ujua kuna ufisadi umefanyika

    ReplyDelete
  3. Wazungu kupenda kupeana. Hmmm. Hivi lini na sisi waswahili tutapendeleana na kupeana ma tender. Kazi kupigana vita tu. Ona sasa, tangu NBC iuzwe kwa ABSA, tender zote zinaenda kwa wazungu wenzao. Jamani...

    ReplyDelete
  4. Wa South Africa kuwapa tenda wa South Africa, SIKU MOJA TUTACHOKA!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Tanzania tutaendelea kuwa masikini iwapo tutaendelea kuwa na viongozi wenye utaahira wa kifisadi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...