Home
Unlabelled
aziz na melanie wa a-taun wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona kama anakula kiapo? Halafu mbona huyo mchungaji/sheshe/ whoever aliyekuwa anafungisha hiyo ndoa haonekani zaidi ya mpiga picha?
ReplyDeletembona ndoa imekaa kama ya makaratasi.....mpambe wa bibi arusi kakata nywele...huto tuji-maua kama wamevinunua barabarani. enewei hongereni....i hope ni ya ukweli
ReplyDeletemachalii wa Arusha hua wanatafuta makaratasi wakiwa huko huko,huyu chalii kama sio cruiser zake mbili basi atakuja mtoni ubwete ile mbaya kwa kiarusha hao hua wanaitwa wavuvi.
ReplyDeleteaziz!!!duh ni hayo makaratasi ndugu yangu!!kaza buti, lol
ReplyDeleteVia via ni sehemu nzuri ya kupoteza muda lakini wale wadada wanaweza kumkasirisha mtu mpaka unaona its not worth going back. The service they give black people especially ladies is HORRIBLE. Its like they are literally color blind. Wao wanaona wazungu tu. I think at times they also think they are white. Stopped going there but I regret that I never gave them a piece of my mind.
ReplyDeleteAsante kaka Issa kwa kutuma picha za sisi kwenye siku ya harusi yetu. Sahihisho moja - mke wangu anaitwa Madeline sio Melanie.
ReplyDeleteTunafurai maisha yetu sana - mia kwa mia. Maisha ni mazuri unapokua na mtu umpendai
Asante kaka Issa kwa kutuma picha za sisi kwenye siku ya harusi yetu. Sahihisho moja - mke wangu anaitwa Madeline sio Melanie.
ReplyDeleteTunafurai maisha yetu sana - mia kwa mia. Maisha ni mazuri unapokua na mtu umpendai
Madeline ni mserbia is'nt? IoI
ReplyDelete