MDAU AZIZ, AMBAYE NI MFANYAKAZI WA MGAHAWA MAARUFU SANA WA A-TAUN VIA VIA AKIWA ANAKULA KIAPO NA MAIWAIFU WAKE MELANIE. BAADA YA KUFUNGA HARUSI WALIJIMWAYA KWENYE TAFRIJA KATIKA MGAHAWA WA BLUE HERON

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mbona kama anakula kiapo? Halafu mbona huyo mchungaji/sheshe/ whoever aliyekuwa anafungisha hiyo ndoa haonekani zaidi ya mpiga picha?

    ReplyDelete
  2. mbona ndoa imekaa kama ya makaratasi.....mpambe wa bibi arusi kakata nywele...huto tuji-maua kama wamevinunua barabarani. enewei hongereni....i hope ni ya ukweli

    ReplyDelete
  3. machalii wa Arusha hua wanatafuta makaratasi wakiwa huko huko,huyu chalii kama sio cruiser zake mbili basi atakuja mtoni ubwete ile mbaya kwa kiarusha hao hua wanaitwa wavuvi.

    ReplyDelete
  4. aziz!!!duh ni hayo makaratasi ndugu yangu!!kaza buti, lol

    ReplyDelete
  5. Via via ni sehemu nzuri ya kupoteza muda lakini wale wadada wanaweza kumkasirisha mtu mpaka unaona its not worth going back. The service they give black people especially ladies is HORRIBLE. Its like they are literally color blind. Wao wanaona wazungu tu. I think at times they also think they are white. Stopped going there but I regret that I never gave them a piece of my mind.

    ReplyDelete
  6. Asante kaka Issa kwa kutuma picha za sisi kwenye siku ya harusi yetu. Sahihisho moja - mke wangu anaitwa Madeline sio Melanie.

    Tunafurai maisha yetu sana - mia kwa mia. Maisha ni mazuri unapokua na mtu umpendai

    ReplyDelete
  7. Asante kaka Issa kwa kutuma picha za sisi kwenye siku ya harusi yetu. Sahihisho moja - mke wangu anaitwa Madeline sio Melanie.

    Tunafurai maisha yetu sana - mia kwa mia. Maisha ni mazuri unapokua na mtu umpendai

    ReplyDelete
  8. Madeline ni mserbia is'nt? IoI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...