balozi wetu canada mh. peter kalaghe akiwasili kuzungumza na watanzania waishio
balozi kallaghe akiongea na wadau
mdau akila stori na balozi kallaghe
gumzo limenoga balozi kallaghe alipowatembelea wabongo huko sehemu za edmonton, alberta, canada, kubadilishanba nao mawazo na kuzungumzia haya na yake yahusuyo uchumi wa nchi yetu

Kumbe balozi wa Tanzania nchini Canada ni msambaa?
ReplyDeleteA very good knowledgeable guy. One of few Tanzanians who believe in Tanzania and can convince you that the Country is on the right track...I'ma believer.
ReplyDeletejamani wabongo mnaoishi huko edmonton namtafuta mtu anayeitwa tito maro naomba mnisaidie huyu mtu bado yuko huko?nitashukuru sana,
ReplyDeletewee anon wa sept.08, 2008 5:03 una maana gani kuuliza swali la kizushi namna hio!haya ndio msambaa kwani una shida gani?kama una ukabila na ushindwe ulegee!onga mbui eka mambeza!!
ReplyDeleteHaya sasa, kazi kwako Balozi Kallaghe. Fursa ndio hiyo, ushindwe wewe kuleta wawekezaji wa viwanda vya matunda, Tanga wakati Canada wanatengeneza juice taamuu za viwango vya juu! Maisha Bora kwa Watanzania yako pia mikononi mwenu Mabalozi msimwachie JK kuzunguka dunia kutembeza bakuli peke yake!Kumbukeni hadithi ya 'Lubungo pokea mkia wako...'
ReplyDeleteMMMnmm, anonym. wa 1:08 unahashira mgoshi, ani wambia mwenzshako ashindwe na alegee mgoshi, kwani anambwai hasha mghoshi hatta umwambe ivo. Kwani kuulizsha kama ni mshambaa ni tattizsho mgoshi, eka ivyo mwanetu.
ReplyDeletejamani kalaghe kafanya nini tena michuzi huchelewei, kazi kwako balozi, wengine washindwe na walegee kabisa.
ReplyDeleteKalaghe bab'kubwa mi namfagilia...nimekaa naye na kuongea naye, big time...anajua anafanya nini...hawa ndio vijana wa Nyerere.
ReplyDeletemichuzi mdaku wewe, si mchezo fanya mambo kalaghe au sio, mshindwe wenyewe, mambo yamenoga, lakini wengine amewacha solemba michuzi asante kwa snaps.
ReplyDeletetito maro? jaribu califonia 1 909 440 6343 au kwa mtandao wake wa cellphone
ReplyDeleteAnonymous 08/09: If u r referring to Tito Maro- Edmonton, I got his contacts and he is not in Carlifonia by the way(response 16/09).
ReplyDelete