balozi wetu canada mh. peter kalaghe akiwasili kuzungumza na watanzania waishio
balozi kallaghe akiongea na wadau
mdau akila stori na balozi kallaghe
gumzo limenoga balozi kallaghe alipowatembelea wabongo huko sehemu za edmonton, alberta, canada, kubadilishanba nao mawazo na kuzungumzia haya na yake yahusuyo uchumi wa nchi yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kumbe balozi wa Tanzania nchini Canada ni msambaa?

    ReplyDelete
  2. A very good knowledgeable guy. One of few Tanzanians who believe in Tanzania and can convince you that the Country is on the right track...I'ma believer.

    ReplyDelete
  3. jamani wabongo mnaoishi huko edmonton namtafuta mtu anayeitwa tito maro naomba mnisaidie huyu mtu bado yuko huko?nitashukuru sana,

    ReplyDelete
  4. wee anon wa sept.08, 2008 5:03 una maana gani kuuliza swali la kizushi namna hio!haya ndio msambaa kwani una shida gani?kama una ukabila na ushindwe ulegee!onga mbui eka mambeza!!

    ReplyDelete
  5. Haya sasa, kazi kwako Balozi Kallaghe. Fursa ndio hiyo, ushindwe wewe kuleta wawekezaji wa viwanda vya matunda, Tanga wakati Canada wanatengeneza juice taamuu za viwango vya juu! Maisha Bora kwa Watanzania yako pia mikononi mwenu Mabalozi msimwachie JK kuzunguka dunia kutembeza bakuli peke yake!Kumbukeni hadithi ya 'Lubungo pokea mkia wako...'

    ReplyDelete
  6. MMMnmm, anonym. wa 1:08 unahashira mgoshi, ani wambia mwenzshako ashindwe na alegee mgoshi, kwani anambwai hasha mghoshi hatta umwambe ivo. Kwani kuulizsha kama ni mshambaa ni tattizsho mgoshi, eka ivyo mwanetu.

    ReplyDelete
  7. jamani kalaghe kafanya nini tena michuzi huchelewei, kazi kwako balozi, wengine washindwe na walegee kabisa.

    ReplyDelete
  8. Kalaghe bab'kubwa mi namfagilia...nimekaa naye na kuongea naye, big time...anajua anafanya nini...hawa ndio vijana wa Nyerere.

    ReplyDelete
  9. michuzi mdaku wewe, si mchezo fanya mambo kalaghe au sio, mshindwe wenyewe, mambo yamenoga, lakini wengine amewacha solemba michuzi asante kwa snaps.

    ReplyDelete
  10. tito maro? jaribu califonia 1 909 440 6343 au kwa mtandao wake wa cellphone

    ReplyDelete
  11. Anonymous 08/09: If u r referring to Tito Maro- Edmonton, I got his contacts and he is not in Carlifonia by the way(response 16/09).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...