




Duka maarufu la mavazi na viatu la EK Footwear lililopo kwenye jengo la Benjamin Mkapa Towers (zamani mafuta house) kwenye ghorofa ya chini limeshusha mzigo wa kufa mtu toka ughaibuni tayari tayari kwa sikukuu ya Idd el Fitri.
Unakaribishwa sana!
Kuulizia piga +255 754 264 243
hongereni sana...
ReplyDeleteNice display, keep it up...
ReplyDeleteKeep it up babe!
ReplyDelete