JK akiwa mkoani Manyara kwa ziara ya siku sita akikagua miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo,afya,maji na barabarana kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi kadhaa ya kiuchumi na kijamii Mkoani humo na kuzungumza na wananchi wa wilaya zote za Simanjiro, Kiteto, Babati, Hanang na Wilaya ya Mbulu kabla ya kukatisha ziara yake jana ili kuhudhuria sherehe za muafaka kwa jongwe huko harare

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...