john mashaka
mhariri mtendaji wa magazeti ya serikali ya daily news na habari leo isaac mruma akiongea na john mashaka leo hapa dar
john mashaka akimsalimu mh. ambasadaa wa zain. nyuma ni msanifu habari mkuu wa habari leo beda msimbe a.k.a lukwangule.blogspot.com. chini akiongea n mhariri wa makala wa habari leo
leo tumepata bahati ya kutembelewa na mwanahatakati john mashaka katika ofisi za daily news na habari leo kufutia mwaliko aliopata. amefurahi sana kuwa hapa na kesho anatarajiwa kuhojiwa na tbc one kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii na uchumi. taasisi ya mwanaharakati huyu ambaye ni mfano wa kuigwa kwa wote wanaoendeleza libeneke nje ya bongo imejikita katika maswala ya kuadia wasiojiweza. yupo bongo kwa likizo fupi iliyokuja baada y kufariki baba yake mzazi huko musoma. anatarajia kurudi marekano ijumaa
kwa habari zaidi nenda www.mashakafoundation.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. Mashaka unavaa Tommy Hilfiger?, Huyo jamaa alishasema hajatengeneza nguo zake kwa ajili ya watu weusi, sasa sijui unamuunga mkono kwa kipi? vaa fubu mazee, nguo za watu weusi.
    Ni muda watu weusi kuungana mkono na kuachana na makabaila wabaguzi walio wazi wazi...sio mbaya kuvaa za madesigner wanaojali biashara na sio Rangi ya wavaaji, yaani mi nikifika dukani nikakuta kuna tommy kwenye kwenye rail naruka mstari mzima.. kwa jinsi ninavyomchukua.. Maneno hayo aliulizwa na Opra akakubali, Mama yetu Ze BILIONEA Oprah akamfukuza kwenye kipindi tena live on TV.. Wake Up bro.

    All the best na kazi zako, Tunakubali sana mchango wako Africa, hayo ndio mabadiliko yatakayotusaidia, sio wakina Flani wanafadhili timu za mpira wa miguu wakati ndugu jamaa na rafiki mbali mbali tena wengine wa karibu sana nao wanakufa Njaa..!

    Mkandamizaji.

    ReplyDelete
  2. Jamaa Michuzi, Asalaam aleykum
    Nakuandikia hii barua -open letter= kukuomba utujibu masuala ambayo najua kuna wengi tungenda utueleze. Nataka kusema wazi kuwa roho yangu safi kwenye suala hili na sina wivu wala niya ya kuwasha moto wa matatizo Wewe ni mkuu wa wilaya,kazi ambayo inakupa madaraka na resposibility, ilikuwaje ukakubali kuwa amabasada wa kampuni ya biashara,nataka utujulishe kuwa hakuna conflict of interest hapa, Je utanilaumu nikifikiri kuwa kampuni hiyo imekupa uambasada kwa kujua kuwa utawapa free publicity knowing that you are established known individual and you will give them almost worldwide exposure each and everytime one opens the jamaa blog as we have come to appreciate
    Naomba radhi, naomba msamaha
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  3. WADAU MMEONA?BAADA YA KUMZINGUA NA KUMCHAMBUA BWANA MISIFA MASHAKA SASA KAAMUA KUANDIKA WEB SITE YAKE HAPO CHINI MWANZONI ALIJITIA ETII OHH KUTOA SIO UTAJIRI NI MOYO WA MTU MIMI SINA LAKINI NATOA KIDOGO MUNGU ALICHONIJALIA KUMBE MINOTI SIO YAKE BWANA NI DONARS WANATOA KUPITIA FOUNDATION AMBAYE YEYE NI MMOJA WA BORD DIRECTOR KWELI WATANZANIA MMESHAKUWA WAJANJA, JAMAA ALITIKISA KWELI KWELI WATU WAKASHINDWA KUELEWA HUYU MTU ANATOA WAPI MAHELA? SASA BADO HATUWEZI KUKUSEMA SANA LAKINI WATZ WANATAKA USEME UKWELI KWAMBA HAPA US WEWE UMELETWA NA DEMU WA KITASHA NDIO KAKUCHUNGULISHA DILI LA NGO SASA UKUMBUKE TU WEWE NI KIJANA UMESOMA SHERIA UJIFUNZE SASA KUWA MKWELI NA MUWAZI SIO UJISIFIE KWA MPAKA WABONGO WAKUTOE NISHAI NDIO UANZE KUSEMA UKWELI WABONGO NI NOMA MWANAWANE, DADA ZETU HUKO TZ USIWADANGANYE HUJAOA DATA ZIPO MTU WANGU UTASHANGAA SANA,
    HATUKUSEMI VIBAYA MTU WANGU TUNATAKA TU UWE OPEN KIDOGO.

    CHEERS
    STIVE C,

    ReplyDelete
  4. Muhidin, ukiwa kama mwandishi ni vema ukatupa taarifa kamili kuhusu makala zinazotoka. Yuko rafiki yangu mmoja hapa ananiuliza huyu John Mashaka ni mchezaji wa Chelsea au ana umaarufu gani. Sina jibu kwa sababu naona taarifa kama zilivyo. Mistari miwili kuwaambia wasomaji huyo mheshimiwa ni nani (ana umaaarufu gani) ingesaidia.

    ReplyDelete
  5. Haya mashaka mwanangu umeanza kidogo kidogo web site yako umeshaiweka hewani watu weweeeee,Kumbe ulikuja msibani ukaunganisha na dili lako watu weweeee walijua umekuja kutoa misaada ndugu yangu hahaha, sasa dogo mambo ya mijisifa uache mdogo wangu date ya wewe kuondoka itawasaidia nini watz


    Hahaaaaa!!!!!
    MAMA QUEEN

    ReplyDelete
  6. Hongera sana bwana Mashaka kwa harakati zako, umefanya kitu kikubwa sana ambacho watanzania wengi wanaoishi nje hawajafikiria kufanya na wala hawana uwezo wa kufanya, kazi yao ni kupiga midomo tu na kuosha takozz za wazungu
    Big up man

    ReplyDelete
  7. WABEBA BOKS NDIYO TUNAAMKA, SUBIRI TUSAFISHE TONGOTONGO ILI TUANZE KUSAFISHA VINYWA....

    ReplyDelete
  8. John mashaka kafanana na flavour flavor ,yabni hio picha ya kwanza copyright nilistuka mwanzo.
    Asante sana kwa misaada na pole sana kwa msiba.

    ReplyDelete
  9. John Mashaka, wasukuma bwana. Teh-teh-teh

    ReplyDelete
  10. John Mashaka, msomi, inawezekana amebarikiwa na Mungu...mtu mwenye huruma na muono wa kuwasaidia wasiojiweza kama hana malengo mengine juu ya misaada yake. Ushauri wa bure kwa John, kiasi kidogo anachosaidia wasiojiweza amlipe mshauri wa kumwambia avae nini na wapi...nadhani mmenisoma waungwana...coz siku hy nilikutana nae pale samora sikuweza kumtofautisha na wachuuzi wa pale kitaani.

    ReplyDelete
  11. Wadau poleni sana,najua ni kitu kinauma roho sana ambapo unaona kijana au msichana mwenzako anapofanya kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako.sasa tupunguze hasira hizo hela hata kama sio zake ni za donars kuna ubaya gani yeye akitoa misaada kidogo kwa watanzania? Au mpaka hawe mzungu? Kitu halichokifanya yeye mtu yoyote anaweza sasa nawashangaa mnavyo mshambulia.
    Nyinyi mna vyama vya watanzania kibao huko majuu na tuwasikia tu hapa wakati wa party na msiba mbona hamna hata siku moja hivyo vyama vyenu vikafanya harambeee ya kutuma vijiko au sukari kwa watoto yatima?
    Mtu mmoja kafanya mnakuwa na hasira badala ya kujifunza na kujipanga upya kwenye vyama vyenu.
    Hata mkijikusanya harambee moja mkatoa dollar 20 bado nimchango tosha kwenye sehemu za kulea watoto yatima na wazee nchini.hilo ndio swala muhimu sio kelele nyingi tu.
    Mnakera sana

    ReplyDelete
  12. Wadau poleni sana,najua ni kitu kinauma roho sana ambapo unaona kijana au msichana mwenzako anapofanya kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako.sasa tupunguze hasira hizo hela hata kama sio zake ni za donars kuna ubaya gani yeye akitoa misaada kidogo kwa watanzania? Au mpaka hawe mzungu? Kitu halichokifanya yeye mtu yoyote anaweza sasa nawashangaa mnavyo mshambulia.
    Nyinyi mna vyama vya watanzania kibao huko majuu na tuwasikia tu hapa wakati wa party na msiba mbona hamna hata siku moja hivyo vyama vyenu vikafanya harambeee ya kutuma vijiko au sukari kwa watoto yatima?
    Mtu mmoja kafanya mnakuwa na hasira badala ya kujifunza na kujipanga upya kwenye vyama vyenu.
    Hata mkijikusanya harambee moja mkatoa dollar 20 bado nimchango tosha kwenye sehemu za kulea watoto yatima na wazee nchini.hilo ndio swala muhimu sio kelele nyingi tu.
    Mnakera sana

    ReplyDelete
  13. Mimi nafurahishwa sana kila ninaposoma ze comments za wadau, wengine wanaosha tu vinywa vyao, ila kuna wengine wako serious na wanaona umuhimu wa kile alichofanya mzee mzima Mashaka.
    Unajua nini, wa kuosha vinywa wacha waoshe ukweli unabaki pale pale kwamba mshikaji kajitahidi; hata kama kapata donors. Wengi tulioko kiwanja tunajua isivyokuwa rahisi kupata misaada, wale tulioko US tunajua mizungu ilivyokuwa migumu "skeptical rather" na maombi ya misaada.
    Kwahiyo mshikaji chochote alichotoa kajitahidi.

    Mashaka, next time ungebadilisha dress code. "Tommy Hilfiger" usawa huu

    ReplyDelete
  14. Nia ni nzuri kusaidia nyumbani. Kwa watanzania tulio nje hii ni challenge nzuri kwetu. Japo amefanya kidogo labda na show off kidogo lakini hakuna ubaya wowote. Nawaomba watanzania wenzangu tukumbuke tuliko toka na tusaidie tunapoweza. Hata kama ni kukosoana iwe ni kwa nia nzuri ili next time tuweze kufanya vizuri zaidi. Hongera zako John and keep it up.

    ReplyDelete
  15. raia wema wakorofi sana teh teh...sasa mashambulizi yote hayo kama Gulf War inakuwa vp??Mashaka hivi,Mashaka vile,mara kapelekwa na m/ke USA, mara mchongo kapewa na DEMU.somehow is 2 much n boring.

    kuna wanaume kibao waliopelekwa Ughaibuni na mademu ama mademu kupelekwa huko na wanaume.wengine wanaishi huko kifisadi.raia wema muwe mnang'ata na kupulizia sio mkishika mmeshika.

    acheni 2 hiyo NGO imsaidie yeye na yeye asaidie wale wasiojiweza.msione aibu kumuomba ushauri ili nanyi muanzishe NGO zenu,kama 2tawaona kweli mkisaidia jamii.
    Kelele nyingi kama kawaibia vile!!!!!!!!

    ReplyDelete
  16. Stive C acha wivu wa kike,
    At least anaomba misaada kusaidia watanzania wenzake, jiulize ni watanzania wangapi wanakaa nje ya nchi na nafasi zakuomba wanazo lakini hawafanyi hivyo kuwasaidia wenzao?
    Nenda hata kwenye website ya Oprah na yeye pia anaomba donation kusaidia masikini.

    Je tukipata watanzania kama kumi wanaofanana na jamaa situngesaidia serikali yetu ya mafisadi?
    Au Stive C wewe ni fisadi kwahio hutaki hata masikini wakipata kupumua?

    Katika comment ya kijinga yakwako inashika nafasi ya kwanza mwaka huu.
    Mdau
    Holland

    ReplyDelete
  17. Yaani wabongo hamna akili, mlichoona ni kavaa nini na sio kasaidia nini.
    Kama Hilfiger ni mbaguzi lakini kijana mwenye akili hawezi akavaa fubu.

    ReplyDelete
  18. Huo uongo mnaununua wapi? eti Tommy Hilfiger alisema hajatengeneza nguo kwa ajili ya weusi.

    Mbona Aaliyah alikua kwenye Tommy Hilfiger Commercial.

    Aaliyah alikua sio mzungu.

    ReplyDelete
  19. OT

    Hivi juzi si mlisema raisi wetu kaalikwa ikuli marekari? mbona hakupigiwa mizinga wala black tie party?

    Leo raisi wa ghana kaalikwa ikulu na nimeona kwenye CNN amepigiwa mizinga na kuna black tie party usiku huu...

    Tofauti ya mialiko yao ilikuaje hebu niambieni....manake wa kwetu hata sikuona kwenye CNN zaidi ya kaka yetu hapa kutupeperushia news ndio nikajua yupo huku.

    ReplyDelete
  20. sina kipingamizi na msela ina nimekasirika sana kavaa tommy hilfiger
    sijui atakuwa hajui story ya tommy au ni mshamba tu anataka ku-fit kwenye kundi la wazungu wabaguzi wa weusi
    Tommy kishasema haja design nguo zake kwa ajili ya weusi we unanunua za nini mazee?

    ReplyDelete
  21. we unafanya wall street kofia gani hizo tena unavaa kama hukuvaa wakati uko college too late now, hivi unaweza kwenda happy hour na colleague zako dressed like that? jaribu uone kama hawataku-interview tena urudi kupiga box
    Trying to dress like a hiphop superstar huh??! just an advise if you didnt do it at some age dont do it when is too late
    dont dress like 50cent its not for you hommie, if wanna dress like a hiphop superstar at least dress like Jayz or diddy to somehow keep maintain dignity
    ushamba huo mazee kama unataka kofia vaa kangol or something that will reflect who you are

    ReplyDelete
  22. hat $5,Shirt $5, a backpack $5 mashakafoundation priceless.YOU CAN DO IT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11

    ReplyDelete
  23. Michuzi John anarudi Marekani sio marekano.

    ReplyDelete
  24. Mkandamizaji,
    Wake up you too bro,
    Mama yenu Ze BILIONEA Oprah said "That's a BIG, FAT LIE".
    She went on the air to deny the rumor and to say that he'd never ever been on the show. (That was before she inveted him to the show to talk about that rumors).
    According to Mama yetu (since I'm also a big fan of her, Tommy is no racist. He's actually a civil rights Philanthropist dedicating his time and effort to the Martin Luhter King Jr. Memorial fund. Amedonate more money to M.L.K KULIKO Oprah mwenyewe. His jeans do go on sale alot,
    Huu uzushi ulizushwa pengine na madisigner pinzani sababu Fuller walichukua chance hii kutoa add katika magazine fulani linalosomeka :- "Frank Fuller Clothing CO Is Not Racist Like Tommy Hilfiger".
    Siyo kila email unaibeba, unaonesha uko mbali na hata magazeti.
    TVZKicartoon@gmail.com

    ReplyDelete
  25. wewe anonymous wa sep 15,2008 4:04 pm.
    unayesema wasukuma bwana wewe kabila gani?? unayejiona wa maana??
    mbona husemi kabila lako?
    watu wasio na makabila wanahasira sana na watu wenye makabila yao. ila pole sana sio kosa lako

    ReplyDelete
  26. Nachotaka kujua kina Ndejembi wamefikia wapi na CCM yao.
    Mbona huyu bwana Mashaka hakuanza na mambo ya CCM kuusaidia umma wa bongo.
    Tupatie taarifa za waduwanzi wa Kansa Bro Michuzi

    ReplyDelete
  27. Jamani huyo sio msukuma tafadhali ni Mkulya nafkr!!nawakilisha.
    Mdau,
    SUKUMALAND

    ReplyDelete
  28. mudichuzi mbona nilikuomba contact ya mashaka kimya jamani mpaka anarudi jamani. umeona humu ofisini kila mwanamke kakodorea macho michuzi wee au ulikuwaunataka awe shemejio maana umempeleka tena karibu kabisa na meza ya yule dada mimi na hasira sana na wewe michuzi haya ni hayo tu.

    ReplyDelete
  29. Wabongo mmmh! yaani manenooo manenoo vitendo sifuri!!!! Watanzania wangapi walioko Ulaya ambao hata kusaidia familia zao kumewashinda?? Kwa walioko ulaya na US wananielewa vizuri nachosema. Kiukweli mshikaji amepiga hatua kubwa hata kama anachemsha kuvaa hilo suala si la kumjadili, tujadili alichotoa na tuige mazuri yake, he is a human being, he can't be perfect. Juzi tu mtoto mgonjwa Mbaraka alikuwa anatafuta familia ya kufikia UK, wabongo karibu wote na ubalozi wetu waliingia mitini! except jamaa mmoja ndiye aliyejitokeza(Mungu amuongezee). So tuache wivu wa kijinga jinga, tujadili mambo ya maana na hapo ndo nchi yetu itaendelea!

    ReplyDelete
  30. Wajameni inabidi muelewe kwamba wengine wetu hapa ni wakulima tumetokea vijijini kwenye majembe na samaki. Mambo ya kuvaa soap soap na ubishololo wa kukaa vijiweni ni ya watu wa dar es salaam. Usitegemee sana the same standard kwa Mmasai, Mkurya, Msukuma, Mchaga, Mnyamwezi, Mmachinga na makabila kadha wa kadha. John ndugu yangu siku nyingine ukinunua kofia, hakikisha haikuvai unatakiwa uivae. Kila la heri la na foundation yako.

    ReplyDelete
  31. Mimi sipendi uongo! Ona annon wa kwanza alivyo muongo! Unapoambiwa habari jaribu kuchunguza mwenyewe uone. Hii ya Tommy na Oprah ni uongo mtupu. Ukitaka kujua zaidi cheki hii link:

    http://www.oprah.com/slideshow/
    oprahshow/oprahshow1_ss_20070502/1

    Beyonce mwenyewe ni spokeswoman wa moja ya perfumes zinazotengenezwa na Hilfiger. Jamani kuweni na uhakika wa data kabla ya kuzitoa...ama sivyo mna-bore watu kwa kueneza uongo na ujinga!
    Inakuwa kama mambo yale yale ya Man city hapa bwana! kha!

    mtoto

    ReplyDelete
  32. Wanaojaribu kuchambua mavazi yake basi twambieni hata hizo sun glasses zimetengenezwa na nani? Kijana jitahidi, ila naona ulikuwa hujaja bango muda mrefu ndo maana ulifikiri kutumia laptop kusoma hotuba yako na kuning'iniza flash sikioni utaonekana wa maana. Next time punguza manjonjo na swala la dressing pia. Ukipata muda uwe unapitia na hizi blog ili uwe unapata habari za hapa barabara. Jitahidi mashaka MUNGU atakusaidia

    ReplyDelete
  33. Nyie mambumbumbu mnaospread false rumours kwamba Tommy Hilfiger ni racist naona mmeishiwa, mko misinformed na akili zenu ziko tired kwa sababu ya kuosha vyombo na kulea vibabu huko ulaya. Poleni sana mtaosha sana vyombo mpaka mzeeke LOL

    http://www.snopes.com/racial/business/hilfiger.asp

    ReplyDelete
  34. Nilikuwa naangalia picha zote za Jamaa huyu kuanzia ile ya mwanzoni kabisa mpaka ya juzi juzi.Kuna kitu nimegundua ama niseme kinanipa wasiwasi,hivi John Mashaka aliyepiga picha amevaa suti na mkao wa Nyerere ktk picha ya kwanza kabisa kuwekwa hapa ni huyu huyu aliyeko bongo ama tunauziwa sura tu?Jamaa wa kwanza anaonekana tofauti kabisa na huyu hii sijui ni kwa vile alipiga ile picha studio ama ni sababu aliipigia huku tofauti ni kubwa na mtu yeyote anaweza kugundua.Isije kuwa jamaa anatumia jina la mtu tu na sisi tunaponda mtu asiye halisi.Fanyeni hivi nendeni kwenye "TAFUTA" Window halafu weka jina la JOHN MASHAKA kila inshu yake iliyowekwa na Michuzi itakuja halafu fananisha.

    ReplyDelete
  35. correction....
    Picha haikupigwa studio ni nyumbani(inavyoonekana ni sebuleni) Slip of fingerss.

    ReplyDelete
  36. WATANZANIA WANA TATIZO FULANI HIVI SIWEZI KULIELEZA, KWANI UKIPOKEA HABARI ZAKE KAMA ZILVYO NA KUZIACHA KAMA ZILVYO BILA KUZIKOSOWA UTAKOSA NINI, WATU WOTE WANAOTOA MISAADA MARA NYINGI HUWA SI PESA ZAO PEKEE WANAPATA TOKA KWA WAFADHILI, HATA NGO YA BILL GATS SI PESA YAKE MWENYEWE KUNA WATU PIA HUCHANGIA, HATA MZEE MENGI WAKATI WA NYUMA ALIKUWA ANATOA PESA NA MISAADA MBALIMBALI KWA WATU SI PESA YAKE NI KUTOKA KWA DONARS MBALIMBALI YEYE NI KAMA MKONDO TU WA KUPITIA. WATANZANIA TUBADILIKE. UNAWEZA KUWAULIZA WATANZANIA WALIO NJE WAKUSAIDIE KUTAFUTA COLLEGE YA BEI POA UKASOME KWA KUJILIPIA MWENYEWE WAKULETEE JINA TU MAMBO MENGINE UTAMALIZANA NAO MWENYE WATAKUAMBIA SISI HATUJUWI KWANZA HATUSOMI WEWE NENDA KWENYE INTERNET TU UTAPATA, SASA NYINYI U.S.A KUNA COLLEGE MILLIONS ITAKUCHUKUWA MIAKA MINGAPI KU-LOCATE CHEAPEST COLLEGE ILIYO CHINI YA UWEZO WAKO KIPESA! WATANZANIA TUPENDANE, TUSAIDIANE, TUSHIRIKIANE UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UTHAIFU.

    ReplyDelete
  37. Ano. September 16, 2008 11:02 AM, seems ni dogo sana na ndii umekuwa teeneger juzi juzi to be honest hii habari sijaiskia leo na ni kweli huyu pigi amewahi kutamka hivyo pamoja na nyie wachache msiojua maana hata kama mkiambia maana najua...

    Toka ni visaiti vyako vya uchochoroni if u...lipstick he will still be a pig Na alianza hiyo sttmnt Mc au ob kwnai kuandika on a 3 mins website ni nini katamka kweli na oprah ana machungu naye. Huyu jamaa yenu mwancheni kaamisha usanii wa wanaigeria bongo and he knows nuthin' about fashion ndio maana hata hiyo kofia kavaa kishambaaaaaaaa

    ReplyDelete
  38. He showed us better than he can tell us that fashion at his thing.
    He got to get out of that Revocatus identity.
    I beleive dude aint got his feet wet yet and dont no alot of stuff eventhough he been in the US.
    He one of them book smart mother***** who got it made.

    ReplyDelete
  39. NYIE WAPUUZI WA KUROPOKA......MNAOSEMA ETI KWANI NINI HUYO J.MASHAKA KAVAA TOMMY HILFIGER......... NENDENI KWENYE YOU TUBE MUANGALIE HABARI ILIVYO.... U ALL BIG FAT LIERS...WAS STUPID RUMOURS WAS MADE...
    KWA RAHA ZAKO J. MASHAKA VAAAAAAA SANA TOMMY HILFIGER.

    ReplyDelete
  40. Very irrelevant kutumia neno CONFLICT OF INTEREST katika ubalozi wa Michuzi kwa Zain, mtumiaji anaoneka hajuwi maana ya usemi huu, sijuwi nieleze vipi ili aelewe maana ya usemi huu, mifano midogo tu ni kama ifuatayo. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania haruhusiwi kuanzisha biashara ya benki kwa vile banki kuu ni msimamizi na mkaguzi mkuu wa mabenki yote kuangalia kama yanafanya biashara kufuatana na utaratibu wa nchi, sasa Gavana atakapofungua benki yake je ni kweli ataikaguwa vizuri ipasavyo, hataficha makosa kwa vile ni benki yake, hapo usemi huo unafaa kutumiwa, au mfano mwingine tusemi Bwana Michuzi anadawaiwa kutorudisha sawasawa masurufu ya safari na Boss wa kitengo chake hakuridhika na retirement ya safari imprest yake na anaamua kuunda tume ya idara kuchunguza Michuzi alitumiaje hizo pesa, itakuwa si busara bosi wake akamchagua Michuzi tena katika tume hiyo au Boss mwenye akawa katika tume hiyo au Katibu Muhutasi wa Michuzi akawa katika tume hiyo kwa vile watakuwa bias upande fulani, mfano mwingine mfanyakazi wa NBC benki hawezi kufungua benki yake kwa vile atakuwa very loyal kwenye benki yake na si ya mwajiri wake. UBALOZI WA MICHUZI KWA ZAIN SIONI USEMI HUO UNAINGIAJE!!!!

    ReplyDelete
  41. Board of Directors:

    John Mashaka, Mhhhffff!?? Founder\ Executive Director

    LaTasha Martin (Akataa??), Director

    Latonya Underwood (Akataa??), Director\ Treasurer

    Marie Amofou (A West African!??), Director\ Board Secretary

    GooDLucK,
    B.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...