
Check the Youtube link for FC BONGO Champions Video.
http://www.youtube.com/watch?v=o4G_Xguex2s Enjoy
http://www.youtube.com/watch?v=o4G_Xguex2s Enjoy
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunasubiri hizo nyama choma zenu hiyo tarehe 11 mwezi ujao kama mlivyoahidi
ReplyDeleteHapo siku hiyo palinoga kweli sitosahau.
ReplyDeletesikuona vizuri kwani sijaona wadada wakishangilia.
ReplyDeletesiku nyingine mulete wadada uwanjani.
macho yangu yanaona zaidi hasa kwenye video kama kuna wadada
Vijana wa moro nawaona hapo Bobu na beka, mnastahili sifa saaana.
ReplyDeleteBila shaka wabongo nyie hamchezi mpira professional. Sasa baada ya picha hizi ambazo kimsingi tumeshaanza kuzichoka, mtuonyeshe wasifu wenu kila mmoja, kazi mnazofanya huko na kiwango cha elimu mlichonacho.
ReplyDeleteEeeh bwana mimi sina mtimanyongo hasa kwa vijana wenzangu ambao wanatafuta maisha huko nje, lakini hawa wabongo wa Finland kwa kweli wanachosha na wameshaanza kuchefua. Kila siku ni suala hilo hilo, hivi hamna lingine la maendeleo la kuonyesha? Nendeni kazini sasa.
ReplyDeleteDA KWELI HAWA VIJANA NOMAA WANASTAHILI SIFA TENA SANA TU.ACHA HIYO SWIDEN WANAWATAMBUA HAO VIJANA
ReplyDeleteMakabe na mwenzako anony wa september 15, 2008 7:35PM hamsemi ukweli kuwa mna donge kubwa la wivu na sio kuchoshwa, hizi habari za fc bongo zinakuumizeni roho kwa sababu zenu kibinafsi, mmewapiga vita lakini mmeshindwa, wenzenu mpka leo wanaendelea kusherehekea tu nyie mmebakia kizani nyoooooooooooooooooo.
ReplyDeleteMnatia aibu, tena kubwa sana.
Makabe na anon wa 7:35 asanteni kwa comments nzuri, kweli ya mpira tushayasikia na sherehe mnayoandaa, hongereni sana ila we anon wa 1:50 acha kuukimbia UKWELI, mnaulizwa wasifu wenu na elimu,,mbona unataka kukwepa hilo, UKWELI NI KUWA ASILIMIA 99 YA WADAU HUKU NJE TUNAKUWAGA HATUJUI TUNALOLIFANYA, BENDERA FUATA UPEPO TU,,Elimu 0, maendeleo 0, mradi tuna kibarua cha kutupa hela ya matumizi basi, mkopo tununue gari la kutembelea basi,tukipata chai, lunch , dinner na nguo basi tunarelax, wakati umri unaenda,,mmeuliza la maana, ni vyema kuwa mnatushtuashtua ndugu zenu mana kwa ufupi, TUKUBALI, TUSIKUBALI NI KUWA TUNAPOTEA NJIA, yapasa kuwa tunashtuliwa kidogo kukumbushwa kuchakarika, kujijenga na kuangalia future, sio kushangaa shangaa tu.
ReplyDeleteMDAU FINLAND
Hivi kila anayesema ukweli ni adui wa ushindi? Naona kuna watu humo wanaficha personal fealure kwenye ushindi wa hiyo timu.
ReplyDeleteHata mimi naunga mkono, hongera za ushindi tulishazitoa. Sasa hivi inabidi mrudi kazini kujiletea maendeleo.
ReplyDeleteDuh! wabongo kwa psychology eti ushindi wa timu hiyo unatumiwa kuficha personal fealure. Hapa Brixton tunao maloosers kibao, wenyewe hawana timu za mpira kama wa huko Helsinki, lakini ni mashabiki CCM, sasa ole wako uwaambie waende shule au kazini umetafutia matatizo...yaani ni copyright na hao Wabongo wa Helsinki.
ReplyDeleteHaya mmeshapewa changamoto na kwenda kazini. Mijadala ya nyama Sweden, vipapatio sijui mji gani ule mlioenda. Hauwasaidiii vijana, kazi na shule ndivyo vitawasaidia. Next time inabidi mtuambie mmepeleka kuwekeza nyumbani na sio kutuletea uzushi wenu wa pilau bila nyama.
ReplyDelete