Mwakilishi wa Mauzo wa Zain, Welima Nyega (kulia) akimkabidhi simu ya kisasa ya Blackberry, fundi mwashi, Justine Mwampunga, aliyeshinda katika promosheni ya Ndoto Points kwa kufikisha pointi 9,148, wiki hii, Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Jamani huyo fundi keshaoa? nimempenda mie, aje anijengee

    ReplyDelete
  2. HUYO MWAKILISHI WA MAUZO VIPI YUKO SINGO?

    ReplyDelete
  3. Majina mengine bwana, hebu fikiria ukikosea kidogo tu jina la pili la huyo mwakilishi wa ZAIN itakuweje. Taab kwel kweli.

    ReplyDelete
  4. Zain acheni siasa....Huyo jamaa ni fundi mwashi kweli, mbona kama...mmemvalisha tu hiyo kofia?

    ReplyDelete
  5. Welima upo juu bidada...Wakilisha Zain...

    ReplyDelete
  6. Naona vijana sasa mnaleta mambo ya mzee wa Utamu humu
    hahaha

    ReplyDelete
  7. MGANGA NJAA. Huyo Dada ameshaolewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...