Jumuia ya waislam Washington d.c inawakaribisha watu wote katika mwezi huu mtukukufu wa Ramadhani katika shughuli yetu ya kufturu pamoja.
Mnakaribishwa kila j'mosi na j'pili mpaka mwezi wa Ramadhani utakapokwisha, kama kawaida yetu akina baba mnaombwa mlete vinywaji laini na akina mama futari.
DIRECTIONS
Take Geogia ave south toward downtown silver spring,
follow Geogia ave,
past colesville rd to sigo ave,
make left on sligo ave(this is right before the train track overpass).
The center is down 3-4 blocks on right.
Kama una swali usisite kuwasiliana na,
IDD SANDALY-3016135165,
MGANGA MUHOMBOLAGE-2023740988,
ALLY ABDALLAH(tumbo)-2404761797,
YACOB KINYEMI-2026297841,
ZAINA BUZOHERA-2404132359,
ASHA AKIDA-2403743538,
AUNT NASRA-2404253538,
NURU MWAMENDE-2406039364.
alma-3015890348.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hii direction inaishia wapi mbona hatuoni address ya mahali pa makulaji?Inaelekea swaumu imekushika kisawa sawa uliyetumu huu ujumbe hahahahahahaha.
    Watu wa disii michosho

    ReplyDelete
  2. yaani, umepewa number za kuuliza, hauna credit nini?

    taratibu unakuja kasi..

    the address ends here '.. down 3-4 blocks on right.'

    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  3. Dumi, marekani hawapigi simu kwa credit dogo wanapiga kwa minutes. Ni sahihisho dogo tu.

    ReplyDelete
  4. Wewe Unayejiita Buffolo NY uko Canada nini? Acha wa US waulize wewe tulia tu huko. Lini tunapiga simu kwa credit huku. Na hiyo down 3-4 bloks ndo address gani..????

    Waache wenye kuuliza wapewe majibu yao....Hamna address hapo mambo ya three four block ndio wapi huko?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...