Jumuia ya waislam Washington d.c inawakaribisha watu wote katika mwezi huu mtukukufu wa Ramadhani katika shughuli yetu ya kufturu pamoja.
Mnakaribishwa kila j'mosi na j'pili mpaka mwezi wa Ramadhani utakapokwisha, kama kawaida yetu akina baba mnaombwa mlete vinywaji laini na akina mama futari.
DIRECTIONS
Take Geogia ave south toward downtown silver spring,
follow Geogia ave,
past colesville rd to sigo ave,
make left on sligo ave(this is right before the train track overpass).
The center is down 3-4 blocks on right.
Kama una swali usisite kuwasiliana na,
IDD SANDALY-3016135165,
MGANGA MUHOMBOLAGE-2023740988,
ALLY ABDALLAH(tumbo)-2404761797,
YACOB KINYEMI-2026297841,
ZAINA BUZOHERA-2404132359,
ASHA AKIDA-2403743538,
AUNT NASRA-2404253538,
NURU MWAMENDE-2406039364.
alma-3015890348.


hii direction inaishia wapi mbona hatuoni address ya mahali pa makulaji?Inaelekea swaumu imekushika kisawa sawa uliyetumu huu ujumbe hahahahahahaha.
ReplyDeleteWatu wa disii michosho
yaani, umepewa number za kuuliza, hauna credit nini?
ReplyDeletetaratibu unakuja kasi..
the address ends here '.. down 3-4 blocks on right.'
Buffalo,
New York
Dumi, marekani hawapigi simu kwa credit dogo wanapiga kwa minutes. Ni sahihisho dogo tu.
ReplyDeleteWewe Unayejiita Buffolo NY uko Canada nini? Acha wa US waulize wewe tulia tu huko. Lini tunapiga simu kwa credit huku. Na hiyo down 3-4 bloks ndo address gani..????
ReplyDeleteWaache wenye kuuliza wapewe majibu yao....Hamna address hapo mambo ya three four block ndio wapi huko?