Habari na pole kwa kuendeleza libeneke kaka Michuzi.
Mimi ni mdau wa blog yako ambayo imekuwa ikiniweka karibu zaidi na yanayojili kila kuchapo. Ninaomba msaada wa kuiweka wazi blog yangu niliyo ifungua hivi punde.
Ni blog ambayo imeegemea zaidi juu ya habari za mfumo wa ulinzi katika miili yetu yaani kwa kikerewe "Immune system". Ninaimani kuwa kutakuwa na mengi ya kujifunza na kushare.
Hii itakuwa na umuhimu mkubwa kwa yeyote anayehitaji kujua mambo ya immunity. Pia ninawakaribisha wote kutoa mchango wao ili blog hii iweze kufanikiwa.
blog yangu inakwenda kwa anuani hii
Asante kwa msaada wako.
Mdau Davis
Moshi,
Tanzania.


Hiyo bolongo yako bADO SANA MACHAGA WEWE,M,.AIIIIIIIIIIIIIII.
ReplyDeleteDuh! Mweshimiwa saaana, hebu jitambulishe angalao fani yako basi! Au ndo mambo ya ku-copy 'n' paste ha ha haha
ReplyDeleteHAYA SASA MAKUBWA!
ReplyDeleteMH.
Great job, its about time someone in bongo started a professional/scientific blog. I look forward to reading and sharing interesting topics about the immune system, in a context that is relevant to Tanzania. Kila la heri.
ReplyDeletetusojua english tutakosa uhondo.kungekuwa na ufafanuzı kwa kiswahili pia watu wengi wangenufaika.lkn kwahivi unakuta ata kusoma ngumu.
ReplyDeleteWe dogo unaweka post mbili halafu unatangazia watu unablog
ReplyDeletehebu weka mambo ndio ujitangaze.
Wazee humu ndani naomba tuelewe one thing!! kabla ya kuanzisha blog or application yoyote online jaribu kujuwa few things:
ReplyDelete1. Objective of the site/blog: what do u intend to achieve??
2. Knowing why?? why do u think blog/site is suitable for ur objectives???
3. Primary and secondary users: before u make it online just know who are your users and what they might want from your application??
4. how do you fulfill the objective?
5. susternability: lazima ujuwe how you will maintain the blog/site? how often u will update, where do u get data and so..
the reason for this comment niwamba nimeshuhudia watu kadhaa wanacoment site fulani haijawa updated? or haipendezi? or not useful? but main thing nikwamba the above questions were not taken in consideration at right time. mtu anaanza kwakasi then anakosa what to put there after two months!!
all the best,
G7
UK