






Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahahhahahahhahahaha
ReplyDeletedaudiiii glady's!!!du jamaa hazeeki huyu.
kinje kama kawa,mishe mishe nyingiiii
twissa u r doing big bro,kip it up u'll definetly go places!
ReplyDeleteMkuu wa nanilii naona LOOSERPOOL wanaongoza 2-1 @ 84min,Leo lazima liverpool fans mtabwabwaja kwa sana.
ReplyDeleteLive: Liverpool 2-1 Man Utd
ReplyDeleteNAJUA UMEFURAHI BALOZI MITHUPU
Hongera kaka michuzi,ma wife mbona hatumuoni nafikiri huyo ndio mtu muhimu wa kuku support anyway tuyaache. hivi party bila ya kinje aifani maana hakosi mnuso,kila mnuso yuko too much.
ReplyDeletehao waliovaa masweta ndani ya DAR mnawaonaje?Wadau.
ReplyDeleteSheikh Michuzi aisee umefunga ramadhani au swaum mushkil kidogo...au bado mwenzetu haujauona mwezi??? Maana haifai kuwa karibu na vitu ambavyo vinakatazwa katika mwezi huu mtukufu Sheikh...muziki, pombe, ze ladyz....
ReplyDeleteBalozi wa Nanii na Mbunge wa mm hongera sana Part yako imekuwa nzuri kwani matokeo ni 2-1 hongera kwa yote.
ReplyDeleteMheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii Balozi Michuzi, Flanazzzzzzzzzzzzzz!! vipi? iko wapi?????
ReplyDeletekumbe soda na maji ukinywa sana hulevya...!!
ReplyDeletenaona kuna watu macho mekunduuuuuuu au ndio kusema furaha ilizidi kipimo!
Thumb Up mabalozi...
Mbona bodigadi wa mkuu wa wilaya ya nanihii hayupo?
ReplyDeleteHivi kwanini lady jay dee anapenda kuvaa utumbo hivyo??????No sense of style kabisa...appearances matter..esp if you are an entertainer!
ReplyDeleteDU HII INATIA HASIRA SANA SIKU IZI BONGO VIJANA WADOGO NDO WAMESHIKILIA USUKANI YANI DAH!WAZEE WOTE OUT OF THE GAME
ReplyDeleteEMBU CHEKI APO TWISA NA CONSTATINE WALIVOPENDEZA WANGAA KWA PESA YANI ELIMU JUU ALAF VIJANA WADOGO TU..
JAMANI YANI APA NAPIGA NONDO KWA HASIRA BONGO NAFASI ZIPO JAMA YANI TUSOMENI VIJANA TWENDENI BONGO TUKAFANYE MABO MNAONA VIJANA WENZETU?
INATIA MOYO SANA!
Michuzi,
ReplyDeleteSasa mbona Zain wameku-downgrade? wewe ni mkuu wa wilaya, wao wanakupa cheo cha balozi wa nyumba ten ten...
sasa hiyo si zarau mheshimiwa??
Halafu, wea waz ze ti-shet???? ilistahili sana kuwepo ktk hafla hiyo...
kaka jeff tunakumiss bnbry na mama E. Naona ushapata mikono mipya, bongo tambarare
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteHongera sana kwa kuwa Mr.Ambassador.Ila naomba u-ambassador usikufanye bizeee ukashindwa kuendleza libeneke, pia kazi zako za ukuu wa wilaya ya naniii..au vipi kaka?
Tunakuaminia kaka
MAKULILO Jr,
nimefurahi kukuona kaka J. umependeza sanaaaaa. Bnby ilikuwa miyeyusho tu, mpokee mwenzio masawe nayeye miguu ya shingo imelia, vidada vile vyeupe noma.
ReplyDeleteMichuzi huu Ubalozi wa aina gani huku bado una matangazo ta TIGO katika blog yakoo.. Au hii ruhusa..
ReplyDeleteannon 6.23pm na 11.21pm
ReplyDeletet-shirt ya mwezenu mbona mwaikomalia ivooo??yan avae ivo ishakua bendera au uniform ya shule??
michu wee kobee au fulu kujiachia kwa raha zako
Duu Kim. T. kwa Tai nae mpaka kwenye pati kiofisa ? Sometimes piga T-Shirt na Jeans mshkaji.
ReplyDelete