mabalozi wa zain katika hafla ya kupongezwa usiku kuamkia leo chinese restaurant. kulia ni bodigadi wa lady jd na kushoto ni mdau kubwa wa globu hii ya jamii
balozi mwenza lady jd wakiburudisha na bendi yake ya machozi
constantine na kelvin walivua suti na kujimwayamwaya
gadna g. habash na mdau kim wakiongelea pambano la leo
watasha walikuwa wa kumwaga
nafurahi kwamba wadau wengi walikuja kutupa taffu
mikonozzzz iliopigwa sana tu
wadau toka kila kona ya dunia walikuwepo kushereheka nasi. picha zote ni kwa hisani ya fullshangwe.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. hahahahhahahahhahahaha

    daudiiii glady's!!!du jamaa hazeeki huyu.
    kinje kama kawa,mishe mishe nyingiiii

    ReplyDelete
  2. twissa u r doing big bro,kip it up u'll definetly go places!

    ReplyDelete
  3. Mkuu wa nanilii naona LOOSERPOOL wanaongoza 2-1 @ 84min,Leo lazima liverpool fans mtabwabwaja kwa sana.

    ReplyDelete
  4. Live: Liverpool 2-1 Man Utd
    NAJUA UMEFURAHI BALOZI MITHUPU

    ReplyDelete
  5. Hongera kaka michuzi,ma wife mbona hatumuoni nafikiri huyo ndio mtu muhimu wa kuku support anyway tuyaache. hivi party bila ya kinje aifani maana hakosi mnuso,kila mnuso yuko too much.

    ReplyDelete
  6. hao waliovaa masweta ndani ya DAR mnawaonaje?Wadau.

    ReplyDelete
  7. Sheikh Michuzi aisee umefunga ramadhani au swaum mushkil kidogo...au bado mwenzetu haujauona mwezi??? Maana haifai kuwa karibu na vitu ambavyo vinakatazwa katika mwezi huu mtukufu Sheikh...muziki, pombe, ze ladyz....

    ReplyDelete
  8. Balozi wa Nanii na Mbunge wa mm hongera sana Part yako imekuwa nzuri kwani matokeo ni 2-1 hongera kwa yote.

    ReplyDelete
  9. Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii Balozi Michuzi, Flanazzzzzzzzzzzzzz!! vipi? iko wapi?????

    ReplyDelete
  10. kumbe soda na maji ukinywa sana hulevya...!!
    naona kuna watu macho mekunduuuuuuu au ndio kusema furaha ilizidi kipimo!

    Thumb Up mabalozi...

    ReplyDelete
  11. Mbona bodigadi wa mkuu wa wilaya ya nanihii hayupo?

    ReplyDelete
  12. Hivi kwanini lady jay dee anapenda kuvaa utumbo hivyo??????No sense of style kabisa...appearances matter..esp if you are an entertainer!

    ReplyDelete
  13. DU HII INATIA HASIRA SANA SIKU IZI BONGO VIJANA WADOGO NDO WAMESHIKILIA USUKANI YANI DAH!WAZEE WOTE OUT OF THE GAME

    EMBU CHEKI APO TWISA NA CONSTATINE WALIVOPENDEZA WANGAA KWA PESA YANI ELIMU JUU ALAF VIJANA WADOGO TU..

    JAMANI YANI APA NAPIGA NONDO KWA HASIRA BONGO NAFASI ZIPO JAMA YANI TUSOMENI VIJANA TWENDENI BONGO TUKAFANYE MABO MNAONA VIJANA WENZETU?

    INATIA MOYO SANA!

    ReplyDelete
  14. Michuzi,
    Sasa mbona Zain wameku-downgrade? wewe ni mkuu wa wilaya, wao wanakupa cheo cha balozi wa nyumba ten ten...
    sasa hiyo si zarau mheshimiwa??

    Halafu, wea waz ze ti-shet???? ilistahili sana kuwepo ktk hafla hiyo...

    ReplyDelete
  15. kaka jeff tunakumiss bnbry na mama E. Naona ushapata mikono mipya, bongo tambarare

    ReplyDelete
  16. Kaka Michuzi,
    Hongera sana kwa kuwa Mr.Ambassador.Ila naomba u-ambassador usikufanye bizeee ukashindwa kuendleza libeneke, pia kazi zako za ukuu wa wilaya ya naniii..au vipi kaka?

    Tunakuaminia kaka

    MAKULILO Jr,

    ReplyDelete
  17. nimefurahi kukuona kaka J. umependeza sanaaaaa. Bnby ilikuwa miyeyusho tu, mpokee mwenzio masawe nayeye miguu ya shingo imelia, vidada vile vyeupe noma.

    ReplyDelete
  18. Michuzi huu Ubalozi wa aina gani huku bado una matangazo ta TIGO katika blog yakoo.. Au hii ruhusa..

    ReplyDelete
  19. annon 6.23pm na 11.21pm
    t-shirt ya mwezenu mbona mwaikomalia ivooo??yan avae ivo ishakua bendera au uniform ya shule??
    michu wee kobee au fulu kujiachia kwa raha zako

    ReplyDelete
  20. Duu Kim. T. kwa Tai nae mpaka kwenye pati kiofisa ? Sometimes piga T-Shirt na Jeans mshkaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...