leo nimefarijika kugongana laivu na bloga nambari wani wa ughaibuni mh. haki ngowi ambaye yupo hapa bongo kwa vekesheni fupi huku akiendeleza libeneke lake katika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Haki hivi umeoa? Walah nakuzimia kishenzi! Answer me pleeeaasseee!!!!

    ReplyDelete
  2. Heshima Kwako.
    Kumbe Kaka Haki anakaa ughaibuni? Mbona kwenye blog asema Dar Es Salaam? Yawezekana mimi ndo uelewa mfupi, si unajua wengine akili kama Koflyn (Shake well before use). Hope kuna wa kuelewesha
    Baraka kwako

    ReplyDelete
  3. Mi napenda sana kuangalia hii blogu ya Haki Ngowi, yaani nikimaliza kuangalia blogu yako michuzi, natafuta ya HakiNgowi. I admire his work. Keep it up nyote wawili

    ReplyDelete
  4. YUko India?

    ReplyDelete
  5. Haki ya mungu bora ze fulanazzzz imepotea kumbe chuzi unapigaga tai? Na katika jina la bwana ze fulanazzzz itoweke mpaka siku ya hukumu!!!

    ReplyDelete
  6. Michu,

    Yaani baada ya kupotea kwa fulanazzzz naona umekuwa smart sana na tai za ukweli ukweli!! Mwizi wa fulana adumu kabisa!!

    -G'luv.

    ReplyDelete
  7. Tai rangi sio

    ReplyDelete
  8. Jamani kumbe kaka ngowi uko majuu,nilidhani tunagongana kariakoo pamoja...blog yako nzuri,lakini last wiki ilikuwa na kigugumizi kidogo..dada yako kekue

    ReplyDelete
  9. who is he???like tha adi uyo annon wa 1 udelele wamchuluzika?
    aisee yan MICHU oyeeeeeeeeeeeee taiz oyeeee imekutoa kinoma mtu wangu,,,ze fulanazzzz ziiiii,,
    ila unalipa michu weee acha tuu asa izi pamba za leo walhahi

    ReplyDelete
  10. Mwacheni Haki ngowi mchumba wa mtu eboooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  11. Kaka Haki blog yako iko juu kishenzi! Hongera sana Bro.. Michuzi uache tu flanazz itokomee, haikupendezi hata kidogo. Check hapo ulivyotoka bomba!!!!

    ReplyDelete
  12. Michuzi kumbe Ujerumani hii majuzi ulienda kula interview ya kazi idhaa ya kiswahili Germany....hongera

    ReplyDelete
  13. Kumbe Haki ana mchumba tu... Nilidhani ana mke, kifupi bado yuko huru!!

    ReplyDelete
  14. mboni wahandishi wote mwakimbilia nje???jaman,,,vijisent eeeee
    wee annon 10.54am,,,,uchumba ndo nini kwani???ndoa yenyewe ziiii sembuse uchumba,,,anaweza pigwa bao tu
    ila jaman watu mnakula hasira???ao mayatima sio kuwalisha tu yan apo ingelipa iwapo atokea jamaa asema mimi ntawafadhili yatima kadhaa shule adi chuo,ufundi nk.sio fudi na nguo ebooooo

    ReplyDelete
  15. okay hakingowi ndio maana umekuwa kimya kupost new thread kumbe upo bongo.

    Hongera Bongo tambarare kama michuzi anavyosema, Je ni kweli Tambarare?

    ReplyDelete
  16. Haki you are looking good. itabidi uwe mra moja moja unatupeperushia picha zako na mamaaa. Watu hapa hawajuhi sasa kama uko single au..haya looking good guys. Bongo tambarare...

    ReplyDelete
  17. Kumbe Haki uko nje? mi napenda sana kusoma Blog kuliko habari za magazeti naanzaga na :-
    1. Michuzi
    2. Haki Ngowi
    3. Bongo Celebrity
    4. Spoti Starehe
    5. Michuzi Jr na wengineo wanafuata...
    Mdau Mselemu, MD

    ReplyDelete
  18. Wadau mnaoulizia kama Haki kaoa au ana mchumba tunatak kujua jinsia zenu....
    Hizi picha jamani,subirini mumuone live..
    Michu umetokea kchizi..big up!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...