Kumbukumbu ya baba yetu kipenzi
Maabadi Ramadhan.
Imepita miaka 20 tangu ulipoiaga dunia ingawa kwenye kumbukumbu zetu bado inasikika kama ni jana tu, kwani upendo, busara na ucheshi wako kwetu havitasaulika kamwe.
Tunataraji re-union siku moja sote tutakapoitwa mbele ya haki.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi,
Amina.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi,
Amina.
Dah! Huyo ni Maabadi yupi?. Ni yule aliyekuwa anaishi Chmbagerni Flats Tanga miaka ya 1976/78. Hebu ndugu yetu uliyeleta hiyo picha na wengine kama wewe muwe mnatoa details za ziada watu kuweza kumtambua mtu. Hasa ukitilia maanani mtu aliyefariki miaka 20 ilyopita wasomaji wengi wa sasa si rahisi kumtambua kwa sura, kwani wengi walikuwa bado wananyonya au kindergaten, unless kama alikuwa ni mtu mwenye jina kuu linalotambulika kirahisi katika jamii. Na imani kama ni yule aliyekuwa Chumbageni NHC Flats(High Cost) Tanga tu wachache tunaosoma blog hii tunaoweza kumkumbuka. Mwenye enzi mungu aiweke roho yake mahala pema pepeoni- Ameen
ReplyDeleteMdau hapo juu Kumbukumbu haitaji detail nyingi hasa ukizingatia Marehemu amefariki Miaka 20 iliyopita, ni kutia majonzi familia kama wataweka kila detail kwenye kumbukumbu.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
Mjusi
Hujakosea kaka ndiye mwenyewe. Samahani kama kuna mapungufu ya maelezo na mimi ndiye first born wake.
ReplyDeleteMungu aibariki familia yenu na kumjazia marehemu rehema.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu azidi kumuangazia mwanga wa Milele na tumuombee baba yetu,mbarikiwe wana familia.
ReplyDeletetx.