JAPANESE PARLIAMENTARY VICE-MINISTER FOR FOREIGN AFFAIRS WITH THE ACTING PERMANENT SECRETARY IN THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL CO-OPERATION, AMBASSADOR CHARLES SANGA ON ARRIVAL AT THE JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT IN DAR ES SALAAM TODAY.
THE JAPANESE VICE-MINISTER IS LEADING A 37 STRONG DELEGATION OF JAPANESE BUSINESSMEN AND WOMEN TO TANZANIA.(PHOTO BY ASSAH MWAMBENE OF FOREIGN AFFAIRS).
















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Haya endeleeni kuiuza nchi kwa wafanyabiashara wa nje. 10% kwa wahusika kuiza nchi, sisi wananchi tuoembeni misaada.

    ReplyDelete
  2. MTAA WA UKUTA WALL STREET HUKO USA UMEKUWA MTAA WA MABOX SASA WANAKIMBILIA BANDARI YA SALAMA DSE. POLE MDAHU HAPO JUU MRAHABA ASILIMIA KUMI HASARA TUPU TUSAIDIANE MDAU KWA HILI

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa Sanga, hiyo Kaunda suti yako mbona inatia aibu. kwani ukivaa proper suit ndo utaambiwa wewe ni bepari.. Please observe dress code.

    ReplyDelete
  4. Naomba kuuliza...Inakuaje huyu bwana Charles Sanga anakuwa na post inaitwa permanent secretary in the ministry of Foreign Affairs? Inaamanisha cheo chake ni mpaka kufa wadau? Hawa ndo mafisadi wanaoshikilia nchi isiendelee. Mawaziri come and go...lakini hawa jamaa 'permanent' ndo wajuao wizara ndani nje. Mimi ningependa kwanza wapunguzwe wengi wao.

    ReplyDelete
  5. Kwenye serikali kuna 'loophole' kubwa sana la Watu wanaojua Wizara, kinachotokea hapo ni kwamba hao ni kama Ma-Training Managers.. Hili wa-train watu..

    Kwahiyo nyie mlioko hapa nje ya nchi (kuanzia Namanga) mrudi ili tuwape Wizara badala ya kufukuza mende !?

    ReplyDelete
  6. permanent secretary haimaanishi kwamba ni wadhifa mpaka kifo. hakuna kitu kama hicho serikalini. muda wake wa kustaafu ukifika ataachia ngazi, au anaweza kuendelea lakini kwa mkataba maalum.

    makatibu wakuu huwa hawabadiliki kama ilivyo kwa mawaziri kwasababu wao ni watumishi wa serikali/civil servants. mara nyingi huwa ni wataalamu ktk nafasi walizopewa, yaani huanzia entry-level post, na kupanda mpaka kufikia most senior post -- permanent secretary.

    ReplyDelete
  7. okay...asante kwa maelezo. Swali la pili...ufisadi unaoendelea katika wizara si basi lazima unajulikana na hawa ma-permanent secretaries? Mbona wanamezea mengi. Kati yao na mawaziri mnaona ni nani anatisha zaidi katika ufisadi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...