kijiwe maarufu cha 'jaws corner' huko zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. safi sana hizi sehemu hazitakiwi kujengwa maghorofa ni za asili na makumbusho. hawa wasome wetu wakija ng'ambo basi utasikia wanataka jenga mlimani city. Jenga bongo/brains not buildings

    ReplyDelete
  2. mwe huko zanzibar yaani wanaume wazima kutwa kula urojo!! ndio maana watu wazima tanganyika tumeuchukua huu mkoa tukaunda tanzania,kazi kuuza nazi tu na kula urojo maandeleo sijui yanaletwa saa ngapi.

    ReplyDelete
  3. Tumaini! kwani ni lazima uchangie? coz sijajujua umekusudia nini kwenye comments yako...Jenga bongo/brains not buildings
    teteheheeeee, hapo kijiweni balozi mithupu ni maarufu kwa gahawa na haruwa, ulikaribishwa au ulipita wima??

    ReplyDelete
  4. ahsante michuzi kwa kutukumbusha nyumbani! mchangiaji wa mwanzo sifahamu maelezo yako. sehemu yote hapo na takriban mji mkongwe wote kuna nyumba za ghorofa (zimejengwa kwa mawe, boriti na udongo) sasa vipi unasema sehemu hizi hazitakiwi kujengwa maghorofa? au una maanisha magrofa ya kisasa ya kutumia tofali?

    ReplyDelete
  5. tumaini lisikutishe hilo bati, hiyo nyumba imepanda hapo juu mji huujui si lazima ucomment!na kwa taarifa yako mji huu maarufu kama mji mkongwe haujengwi magorofa ya kisasa!

    ReplyDelete
  6. huyu 2LIVER, anatafuta umaarufu tu kwenye net, nini unazungumzia mi sifahamu! pole sana.

    ReplyDelete
  7. Jamani hapo hapauzwi urojo! hapo ni maskani maarufu no.1 ya CUF na kiboko ya CCM Zanzibar, na kama ilivyo popote penye mkusanyiko wa watu wafanya biashara huchukua nafasi ya kufata wateja. Bora kuuza nazi ukala halali kuliko kuwa FISADI ukala jasho la walala hoi, maana inaonyesha wazi kama wewe FISADI au MTOTO WA FISADI.
    Litakayemkuna ndo mwake humo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...