Home
Unlabelled
pinda azindua mradi wa vyandarua mpanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Excellent Hon.PM.Jitahidi kupambana na Malaria nchi nzima.Malaria imekuwa na inazidi kuwa tishio la Taifa letu hasa maeneo ya vijijini.
ReplyDeletehuwezi prevent malaria kwa kugawanya vyandarua,koz kinatumika wakati wa kulala,je unapokaa sebuleni usiku kabla ya kulala kwa mazungumzo au kuangalia luninga,vijana wanaokaa maskani usiku mbu pia wanapatikana,
ReplyDeletekama kweli mnataka tokomeza malaria viongozi wadumishe mazingira safi mito na maziwa isichafuliwe,vidimbwi vya maji machafu visipewe nafasi kuwepo mitaani.
mazingira safi kila sehemu tz.apo ndipo malaria yatatokomea,
otherwise viongozi wanadanganya wananchi wao eti mradi wa kutokomeza malaria,,hayataondoka ngo na watu kulalia vyandarua vyao
mimi nauliza swali dawa ni kuwadhibiti mbu au kununua vyandarua? kipi rahisi (gharama)mbona hapo zamani iliwezekana?madimbwi yote yalimwagiliwa dawa na malaria haikuwa tishio hivyo
ReplyDelete