web site ya swahilinet inakukaribisha katika
1) forum mpya iliyo na kila kitu kuanzia biashara mapishi mashahiri na mengineo mengi kama matangazo ya kazi angalia sasa http://www.swahilinet.com/forum/index.php
2)Tangazo ya bidhaa zako bure kama wewe ni muuzaji au tafuta bidhaa kama wewe ni mnunuzi na wiki hii kuna matangazo tele angalia http://www.swahilinet.com/home/index.php
3)angalia matakazo ya ajira katika hotjob
4) Unataka kufundisha au kusoma kuna huduma ya shule ya internet ikiwa na vifaa vyote utakavyoitaji ili kusoma au kufundisha kwa kupita internet angalia sasa

5) Radio/TV: unataka kusikiliza live radio toka East Africa swahilinet imeanza huduma hii unaweza kusikiliza na kuangalia TV bure
6) Pia unaweza kutuma Sms za bure duniani kote-Radio: Je una kituo cha Radio na ungependa radio yako ipatikane katika swahilinet tuandikie http://streaming.swahilinet.com/-
Web: je unataka kutengeneza web au unatafuta program yeyote iliyokosekana Tanzania. Tuandikie ili tukusaidie -Yellow page ; weke address ya ofisi yako na huduma unayotoa katika swahilinet ili kuongeza wateja angalia
Swahilinet ina huduma nyingine nyingi kama evenet na nyinginezo tembelea web yetu sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mbona hii site inatuyeyusha, radio za bongo hatuwezi kusikiliza. Kuna error kibao zinatokea katika webpage.

    Halafu kitu kingine, inabidi muongeze bidii kujenga website zenye maana. Hii sijapendezwa nayo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...