Kamati y Maandalizi inawaomba michango yenu ya hali na mali piakuwaalika kwa ajiri ya chakula cha jioni na mazungumzo yanayotarajiwakuwa tarehe 14 Septemba 2008 kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi anategemewa kuwa Baba Askofu Alex Malasusa na Mkurugenzi wa LJSMorogoro.
Mchango wako ni muhimu sana ili kuweza kufikia gharama ya shughuri hii.
Asante na Mungu awabariki sana!
MAHALI:
Blue Pearl Hotel-Ubungo Plaza
Wenu
Godwill Matayi
Mjumbe kamati ya maandalizi
R.S.V.P.Godwill Matayi
0784 456343

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Matayi asante sana kwa ujumbe.

    Pamoja na kwamba umeeleweka,ni imani yangu kuwa ukitulia na kutumia elimu yako uliyonayo juu ya uandishi unaweza kuandika TANGAZO ZURI ZAIDI NA LENYE MAKOSA MACHACHE YA KIUANDISHI kuliko hili.

    Hii ni kwa ajili ya kuleta ufanisi wa Umoja wetu katika kuwavuta wahitimu wengine katika Umoja huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...