Kamati y Maandalizi inawaomba michango yenu ya hali na mali piakuwaalika kwa ajiri ya chakula cha jioni na mazungumzo yanayotarajiwakuwa tarehe 14 Septemba 2008 kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi anategemewa kuwa Baba Askofu Alex Malasusa na Mkurugenzi wa LJSMorogoro.
Mchango wako ni muhimu sana ili kuweza kufikia gharama ya shughuri hii.
Asante na Mungu awabariki sana!
MAHALI:
MAHALI:
Blue Pearl Hotel-Ubungo Plaza
Wenu
Godwill Matayi
Mjumbe kamati ya maandalizi
R.S.V.P.Godwill Matayi
Wenu
Godwill Matayi
Mjumbe kamati ya maandalizi
R.S.V.P.Godwill Matayi
0784 456343


Matayi asante sana kwa ujumbe.
ReplyDeletePamoja na kwamba umeeleweka,ni imani yangu kuwa ukitulia na kutumia elimu yako uliyonayo juu ya uandishi unaweza kuandika TANGAZO ZURI ZAIDI NA LENYE MAKOSA MACHACHE YA KIUANDISHI kuliko hili.
Hii ni kwa ajili ya kuleta ufanisi wa Umoja wetu katika kuwavuta wahitimu wengine katika Umoja huu.