
Kaka michuzi,
napenda kuwatangazia wadau wote kuwa vile vifaa vya kulonga longa kwenye gari kwa ajili ya madereva vimewasili sasa kutoka Ujerumani.
Unaweza kuona demonstration ya jinsi vinavyotumika na kujipatia sehemu zifuatazo:
Jerry car wash, SINZA HONGERA,
Sam Internet Cafe, SINZA MORI,
na
TK&A Kitega Uchumi First floor.
Kwa mawasiliano
spoi2002@yahoo.com
0713341040
VIFAA VIKO VICHACHE WAHI SASA!!
VIFAA VIKO VICHACHE WAHI SASA!!


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...