Habari za leo Mkuu wa nanihii.
katika pita pita yangu katika mtandao nimekutana na hii kitu hatari kweli kweli hata wewe nadhani uiangalie imetulia.
kwa kifupi ni kwamba google wameanzisha web browser yao inaitwa google chrome nilichoipendea ni speed inakamata kila kitu nadhani soko la internet explorer limekufa maana hii kitu ni open source.nimeona ni bora wadau wengine na waka share hii info kama hawajaipatalink ya kudownload ni kama ifuatavyo
http://www.google.com/chrome/

NB: toleo hili ni beta (beta version) kwa hiyo ina maana kutakuwa na marekebisho hapa na pale.
shukrani
mdau sweden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Michu,

    Google Chrome inapatikana kwenye link hii hapa na sio hiyo aliyokuletea huyo mdau wa mwanzo.

    http://www.google.com/chrome

    ReplyDelete
  2. nimeshamsahihisha

    ReplyDelete
  3. Yote tisa, Kumi umeona IE8 BETA? Google wamekopi features za MS na walichofanya ni ku-design images vizuri na browser kubadilika lakini features is almost the same as IE8 BETA na google wame confirm hili swala.

    IE8 BETA ni bomba mbaya.

    NaWaKiLiShA.

    ReplyDelete
  4. hata mimi ninaifagilia IE8...ni bomba zaidi...nenda microsoft.com and search for ie8 to download it

    ReplyDelete
  5. mimi comment yangu haihusiani na beta wala google, Namtafuta angela aliyerudisha taji la redds , nakitu nataka kuongea naye, mi naitwa irene, nipo uk, naomba kama angela au rafiki wa angela ukisoma hii tuwasiliane kwa email irene20002000@yahoo.com, natanguliza shukran

    ReplyDelete
  6. wamecopy ideas kibao duh soo
    Londoner

    ReplyDelete
  7. IE8 BETA,ni nzuri zaidi ya google chrome,ila IE8 BETA inafanya computer inakuwa nzito, ina dipend na speed ya komputer husika,kwa upande wangu na changua google chrome.

    ReplyDelete
  8. browser Firefox 3. IE sucks big time!!

    ReplyDelete
  9. we anonymous wa Tarehe September 03, 2008 2:19 AM acha kuongea vitu juu juu tu IE8 wana kitu kimoja tu kizuri ambacho si firefox3,si Opera na si Google Chrome wanacho.Na kitu chenyewe ni InPrivate browsing mode which is a good thing for the paranoid ones.Of course mozilla wana hii feature through plugins ambayo ipo freely available katika site yao.
    anyway point ni kwamba hii Google Chrome wametumia technology ya V8 ambayo inafanya JavaScript i run very fast
    so in my own opinion i prefer a fast browser then mambo ya privacy is an individual matter kwa mfano watu wengine wanapendelea ku tweak network connection zao wao wenyewe unanunua hardware firewall then huhitaji hata hiyo IE8.
    kwa hiyo zote ni nzuri ila naamini kuwa IE8 inakufa soon maana hii tech waliyoitumia hawa jamaa ni noma sana na i can assure you this is just the beginning !
    mdau sweden a.k.a open source die hard

    ReplyDelete
  10. mdau wa Sweden kaongea cha maana. Chanzo-huru (open source) ndio mwendo wa kisasa

    ReplyDelete
  11. Nalitolela,p.s
    nakubaliana na wewe OPEN SOURCE is the way forward because inapromote kanuni hii - tengeneza product kama una uhakika nayo na kujiamini weka source code zuliani watu wacheze nayo au siyo!
    na ndiyo maana nasema IE8 itakufa tu maana kila kitu wanabania kuficha ficha tuu.na baada ya hapo itakuwa patashika maana Linux Distros zinakuja juu sana especially Ubuntu na Open Suse wana hasira!!
    Anyway kila mtu ana opinion na matakwa yake wengine bado wana usongo wa kuwatajirisha microsoft!LOL
    mdau sweden a.k.a open source junkie

    ReplyDelete
  12. Wanao sema ohoaa open source that open source this, kwani nyie ni ma software engineer or programmers?

    Sijawahi kuona mbongo ame produce software or anything so keep it on your self. when is open source that means you will get advantage as a programmer or software engineer to be able to play around with the source code of the mentioned software. Otherwise if you are not like i said above then the so called open source is like a dream.

    At end of the day you don't pay for anything on IE8 BETA or google chrome. Technical thinking and experience, IE8 BETA is the best of the best, Father and mother of all browsers.

    PeAcE.

    ReplyDelete
  13. anonymous wa Tarehe September 03, 2008 6:21 PM
    Sijawahi kuona mbongo ame produce software - hata mimi sijawahi kuona
    or anything - maybe in the little world you are living because am sure ungekuwa a relevant person katika software life cycle ungeona wachache walioproduce something tiny(tiny is better then nothing - LOL) na kwani wewe ni nani mpaka utangaziwe kuwa kuna mbongo anaishi nchi fulani ka produce software,patches,au yupo katika development team ya software fulani?kumbuka kuwa in the process of building a software product there is a number of people(requirements people,development people,testers,etc) invlolved depending on the size of a software company and the clients requirements and specifications.and all of them are credited for their work hata hiyo IE8 ina a team of people sasa ukiambiwa kuna mbongo humo utakataa?au mpaka uione kwa michuzi ndiyo utaamini?sisemi kuwa yupo ila nasema je angekuwepo je?
    open source that means you will get advantage as a programmer or software engineer to be able to play around with the source code of the mentioned software. - wrong!
    Open source is a development methodology, which offers practical accessibility to a product's source[disambiguation needed] (goods and knowledge)
    This permits users to use, change, and improve the software, and to redistribute it in modified or unmodified form. It is very often developed in a public, collaborative manner. Open source software is the most prominent example of open source development and often compared to user generated content
    The principles and practices are commonly applied to the development of source code for software that is made available for public collaboration, and it is usually released as open-source software.
    nenda wikipedia ukajifunze kwanza
    mdau sweden

    ReplyDelete
  14. Anony wa Sep 03, 2008 6:21 PM;

    I respectfully have to disagree with your argument. By your logic, one has to be a mechanic to know that a certain car make is better than another; and a mere driver is incapable to make such observations.
    There is a saying by George Bernard Shaw that goes, “Although i cannot lay an egg, I am a very good judge of omelettes.” Or a variation of it (I believe from Mwalimu Nyerere) which goes something like, "siwezi kutaga yai, lakini najua yai visa nikiliona".

    Like Mdau Sweden has pointed out, using (and apprecating) open source software doesn't mean you have to be part of the development process. Some of my friends who have a very basic knowledge of computers (interenet; wordprocessing and a few aplications) but no formal training (at least none at degree or even diploma level) have come to like and appreciate different OSS; I won't go into a whole lecture about the merits of usinf OSS; but I will just mention a couple: stability as any bugs are caught and corrected right away; whereas with the alternative, once the alpha version has been released, the bugs will not be fixed untill the developer releases the next version (or at least a patch of the current); whenever that will be. 2nd, customizability. This feature also enables forking and robust development of new software. The list goes on and on. There are also cons to OSS ofcourse; but in my opnion, the pros outweigh the cons. I am a Mathematician and I have time and again been a beneficiary of some of the best OSS products like LaTeX, Open Office, xfig, emacs, etc; and I say long live GNU!! :-)

    In regards to your question on whether we are software engineers/developers:
    I am not an authority figure on software engineering by any means; but I do have a minor in computer science from my 1st degree; I do a bit of software development for math use. And I do lab development work for some computer courses. With my PCs at home and my office I use both Linux and Windows; whereas in the math dept at my school we use macs. So I have used a variety of producst out there and know a thing or two

    ReplyDelete
  15. Hey up there unayesema hujaona mmbongo amedevelope anything ...I hope the person before said it all....

    Mimi ni mmbongo and I am a software developer II kwenye company hapa USA. I self taught web development too and back then while I was doing my under graduate degree as a project tulifanya au kuendeleza kazi ambayo tuliikuta kudevelop software ya medical billing na hiyo software inafanyiwa experimental kwenye hospitals na companies kadhaa hapa USA since last year....

    Back to the discussion ...I think all browsers are the same.... fast, secure and all will take you to the same place "the Internet" but each one is suitable for different things...

    IE8 is still in the experimental state but it is a full featured browser and looks good on the user surface but behing the scenes it is the worst.

    Chrome to me sucks out loud too and is a very minimal browser with not too many features. Only for the open source reason and the engine they use to me it will even be better than IE8.

    I personally like FIREFOX on my PC and Safari on my MAC....

    And FYI IE and Chrome spy on you

    ReplyDelete
  16. Wadau hebu nipeni kwanza msaada maana nimedownload IE8 BETA lakini sasa tatizo nililonalo ni kwamba hata kufungua hii site ya michuzi napata tabu sana yaani ila nimeikubali ipo faster ile mbaya yaani so jamani nipeni msaada nimekosea nini hapo mnirekebishe maana kuuliza sio ujinga jamani

    ReplyDelete
  17. Mdau wa Tarehe September 04, 2008 12:23 AM, Try to clear cache then type in again the website. I have just downloaded IE8 Beta and i can access the Michuzi blog.

    About mbongo wa kudesign software, yes that is true and too shame for all software engineers and programmers at udsm and those who are outside the country. In order to find if they have done so, try to check on every launch of any softwares, they always mentioned the origins and the names of people who contributed to make it happen.

    About wikipedia thing, try not to use it has wikipedia is open articles whereby anyone can write anything without having knowledge of that thing. It happened here in UK when one university student took one of the articles to support her research and she was failed and now on most of universities they banned wikipedia to be used by their students cause some of the articles are not 100% containing the truth.

    The article that was taken by that student was writen by one person claimed that he was a prof. from US while from matter facts he was not a prof. at all, even he does not hold even one degree.

    IE8 BETA Forever.

    ReplyDelete
  18. Nadhani hapa watu munafanya marketing yabure bila hata kulipwa na any of the two software giants. Open source, microsoft products zote zinafanya kazi vizuri, kikuwa kwa mtumiaji is knowing what they want and what they are missing.
    Sio rahisi mtu mwenye akili timamu kudhani microsoft internet explorer itakufa soon. Just pia sio rahisi kuamini kwamba open source itakuwa the same years to come. nakumbuka redhat linux was open source nasasa sio tena! who knows hapo baadae when these products wamepata popularities?? pia open source haina mwenyewe hasa ambaye you can hold responsible pale mambo hayapo sawa! with proprietary software atleast tunajuwa who to blame and sue when things are not right.

    So please wachane kurumbana kama vichaa for what you are not sure of!!

    G7
    UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...