Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. WADAU CHUNGUZENI HII KWA HALAFU MUONE KAMA INALETA MAANA...

    NAFIKIRI WAZO LINAELEWEKA, LAKINI PICHA HAIELEZI INAVYOTAKIKANA...

    KWA HARAKA UNAWEZA KUTAFSIRI KUWA: MSHAHARA UNAPANDA NA UKALI WA GHARAMA ZA MAISHA UNASHUKA KWA KASI

    NYIE MNASEMAJE?

    ReplyDelete
  2. Msanii wa kibonzo;
    Kazi nzuri lakini tafsiri ya kawaida itaweza kupotosha maana.

    1. Ni kweli mshahara kupanda mpaka mtu asweat! Yaani ni ngumu mno!

    2. Si kweli kuwa gharama za maisha (cost of living) zinashuka au kuporomoka kwa kasi. Nadhani badala ya cost of living andika value of Tshs. (uthamani wa shilingi ya Tz)au quality of living (uthamani wa maisha) maana hivyo ndivyo vinashuka kwa kasi mno.

    Njia mbadala ya kuwasilisha ujumbe wako ni:

    kuweka neno 'salary' pale kileleni na 'cost of living' chini upande wa pili. Na hivyo hii itabadilisha maana kwa maelezo kuwa
    1. kupata mshahara wa juu utasweat kichizi
    2. kufikia/ kuingia gharama kubwa za maisha ni haraka sana.

    Enewei, wataalamu wa mawasiliano walinifunza kuwa 'meanings are in people and not necessarily in what they portray'

    ReplyDelete
  3. A picture speaks a thousand words...According to me, among other things, it says: SALARIES ARE RISING WHILE COST OF LIVING IS DESCENDING. Which means things are getting better...Which I am sure was not the artist's purpose.

    ReplyDelete
  4. Kijingajinga huenda anamaanisha kuzipata za mshahara taabu lakini hazidumu.

    yaani unazitabikia weeeeee lakini ukienda shoping siku moja zimeisha... so cost of living ndio imemchemsha angetafuta neno mbadala labda!!

    G7
    on my way home.

    ReplyDelete
  5. Hizo bongo Marathon hazina velocities?Huyo mwenye katumbo angejua velocity ya huyo anayeshuka kilima basi hatakiwi kufika kileleni tena,ni kuzunguka tu kilima na kumtangulia mbele au kurudi chini wote watakutana chini(Utani)
    Katuni hailipi.Inaonyesha gharama za maisha zilishapanda zamani na sasa zinashuka/teremka wakati mishahara inazidi kupanda kama walivyochangia wadau hapo juu.Tunaweza kuwa tumeielewa vibaya,hizi cartoonz bwana nazo zinahitaji utaalaaam sana kuzielewa

    ReplyDelete
  6. Mshahara kuupata mgumu lakini na ukiupata pesa zinaisha haraka

    ReplyDelete
  7. Wazee hii katuni iko wazi kabisa! Mchoraji kaanza vizuri kwa kusema Bongo Marathon, Mbio hizo za masafa marefu ni kati ya 'Salary' na 'Cost of living'. Wakimbiaji wanatofautishwa kwa maumbile, huyo mnene hawezi kukimbia kwa kasi kubwa wakifika kwenye kilima! Sasa hizo ''complicated'' tafsiri zinatoka wapi wazee!! Neno, bongo marathoni lisingekuwepo ningekubali kuwa katuni haieleweki, au wazee hamkuliona ilo neno Bongo marathoni hapo, vinginevyo sioni kitu cha kuchalenji, labda mtu useme hujaelewa!!

    ReplyDelete
  8. hapa hii inaonyesha cost of living ipo juu(ipo mbele ni kubwa au inakwenda kwa kasi)wakati mshahara ni mdogo(duni ,umechoka au upo chini kabisa au unakwenda kwa kuzorota)

    ReplyDelete
  9. Wabongo bwana, yaani jamaa kachomeka kiingereza kidogo basi maana lukuki..

    Hapo hiyo picha inamaanisha kwamba: Gharama ya maisha inakata mbuga kwa speed kama ya kushuka kilima ukiwa mwembamba (incredibly super fast)

    Wakati kipato aka salary inasua sua kama kupanda kilima ukiwa na kitambi..

    sioni tatizo hapo labda ni malengelenge yangu!?
    acheni kufananisha degedege na mashetani.. mnakuja kasi!? acha! acha!

    ===
    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  10. MIE KWA MTAZAMO WANGU JAMAA ANA MAANISHA JAPO KUWA MSHAHARA UNAPANDA LAKINI COST OF LIVING NDIO MATATATIZO.INA MAANA MSHAHARA AUTOSHELIZI MAHITAJI YA WAFANAKZI JAMANI AU SIO.

    ReplyDelete
  11. G7 karibu sana home, ukifika Bongo tunakuomba umtembelee Michuzi.

    ReplyDelete
  12. Yeah ni kweli kuwa maana ziko nyingi ila pia kupata au kukosa maana inategemea na jinsi utakavyoelewa.

    Kwa upande mwingine unaweza ukasema kuwa hizi ni mbio za marathon na wanariadha ndo hao jamaa wawili na anayeongoza ni COL ambaye amemwacha S mbali na kuvuka kigingi(kimlima)na sasa anashuka kwa kasi kiasi kwamba anazidi kumwacha S(Ikimaanisha kuwa gharama za maisha zinaongezeka kwa kasi)wakati S bado yuko nyuma na keshachoka na huenda asivuke ata hiko kigingi(Ikimaanisha kuwa mishahara inaongezeka kwa kasi ndogo sana na kwa suluba(sweat)na wala haitamfikia COL ambaye amemwacha S mbali akiwa na wakati mgumu wa kupambana na vigingi(vimlima) ambavyo COL amevivuka.

    Kwa kifupi unaweza ukasema kuwa mishahara inaongezeka kwa kasi ndogo sana kiasi kwamba haitaweza kukidhi gharama za maisha ambazo zinaongezeka kwa kasi kubwa siku hadi siku.

    S- Salary
    COL- Cost Of Living.

    Mdau
    Potz.

    ReplyDelete
  13. wadau mliosema hakuna tatizo katika fasihi iliyotumika mmeeleweka lakini ukweli ni kuwa huo MLIMA (kupanda & kushuka) ndio unaleta kelele katika mawasiliano.
    Ungewaweka washindanaji uwanjani au katika tambarare mara moja kila mtu angeona maana inayowasilishwa.

    Kama alivosema Nyakarunge meanings are in people ni kweli.

    ReplyDelete
  14. Duh...picha simple inaleta maneno mengi. but i guess ppl have different interpretation of such things. Mimi nilivyoona hiyo ni marathon...huo mlima hauna uhusiano wowote na kupanda au kushuka kwa mishahara au cost of living. Hapa anaonyesha tu jinsi cost of living inavyoiacha salary nyuma. Cost of living iko fit (yani mwembamba) na salary ni nene inashinda ku-keep up na Cost of Living. Simple and to the point...

    ReplyDelete
  15. wadau hebu tuache utani, mbona hiki kibonzo rahisi sana lakini watu wanaleta maelezo kibao ambayo ni off piont?

    Sasa ni hivi, this is very simpo. Hapo mchoro anataka kuonyesha kwamba bongo Mshahara kuupata ni lazma usweat sana (ie kupata mshiko ni kazi sana - either usome sana (madegree), ufanye kazi na biashara - fuga ngombe, kuku lima mchicha au uwe na kaduka, ule rushwa etc. Yaani Mwisho wa mwezi lazma usweat, hela kiduchu sana lakini on the other hand Maisha yako chini ukilinganisha na Nchi nyingi. Hatuna mambo ya ma supermarkets au nandos kama nchi nyingi za kiafrika (zilizokuwa westernised) , shooping unaweza kupiga kariakoo kula kula kwa mama ntilie, chumba unalala kimoja tu choo cha nje etc. Kwahiyo hiyo ndo msg. Ingawaje mshahara ni mdogo sana(hata ukilinganisha na nchi nyingi za Africa (na sio kwa wadhungu salary zetu ziko chini sana) lakini watu wanasurvive kwa kwenda mbele - kujenga kila siku cement imeadimika, gari sio anasa tena siku hizi na mobile hata watoto wanazo. Reasons for this? kuhangaika - waTz mishemishe sana - Posho za seminars, vibiashara vidogovidogo kusupplement ka mshahara kaduchu na most importantly cost ya living iko chini sana.

    Mmepata hiyo concept??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...