habari za leo ndugu zangu,ile siku ilokuwa inasubiriwa ndio imetangazwa rasmi ,hivyo basi usikosi hii shughuli pekee inayowajumuisha Watanzania mbalimbali wa kutoka hapa India.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Watanzania mbalimbali wa kutoka hapa India IoI vijana na kiswahili chenu uwa mnaniacha hoi sana. Jua vipi huko?
    Londoner

    ReplyDelete
  2. I love that! I am an Indian and I am from Mangalore! If I were in India surely I would have joined your party. Muziki zipi unazicheza? Bongo flava au za kihindi? Fashan shoo ya Tanzania au Indai? Vizuri ndugu nawatakieni kilakheri!By the way chakula gani unachokitoa during party? Napenda kula ugali kwa sungwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...