ndugu Michu
Nimeona hii kazi kwenye VOA (Sauti ya America) naomba ibandike ili wadau wenye qualification waombe.Lakini inabidi atakaeomba awe sharp sana kwasababu maombi mwisho tarehe 24 mwezi huu.
International Broadcaster (Radio)(Swahili)
All the best kwa wadau.
Nimeona hii kazi kwenye VOA (Sauti ya America) naomba ibandike ili wadau wenye qualification waombe.Lakini inabidi atakaeomba awe sharp sana kwasababu maombi mwisho tarehe 24 mwezi huu.
International Broadcaster (Radio)(Swahili)
All the best kwa wadau.
MdauUSA
teh teh teh teh mnaona mishaara yetu hiyo....Kubeba mabox kunalipa jamani
ReplyDeleteWala msihangaike ku-apply. Wamekwishachaguliwa mnapoteza muda tu. Waliochaguliwa ni marafiki na ndugu wa waliopo pale tayari. Kuna moja aliingia huko kwa kugawa nyeti zake.
ReplyDeletemhhhh tuplionyu acha ngebe.mIMI nina swali kuhusu mshahara huo unaolipwa kwa mwaka ina maana wanapigia miezi 12 au wanatoa miezi ya likizo
ReplyDeleteAnony wa September13, 2008 3:23 PM, Kwani sheria za full time employment zinasemaje? hata Tanzania huko nyumbani! kwani ukiwa likizo huwa hulipwi mshahara? huu ni wa miezi kumi na miwili hivyo igawe hiyo figure by 12 uone ni kiasi gani kwa mwaka, kwanza ni mshahara mdogo sana ukilinganisha na vyombo vingine vya habari, ni mdogo kwa sababu nahisi ni radio ya serikali, mali ya umma kama vile radio Tanzania, wanategemea ruzuku toka serikalini. Kuna watangazaji wa vyombo vingine wanapata mshara mkubwa kuliko hata RAIS BUSH mara zaidi ya tano kwa mfano NATASHA KAPLISNKI wa Channel 5 UK TV kama sikosi kazi yake ni kusoma taarifa ya habari tu na pengine kushiriki katika kuitayarisha behind the scene anapata £1,000,000.00 kwa mwaka sawa na $2,000,000,.00 sawa na Tshs 2,300,000,000.00 yaani Tshs billioni 2.3 kwa mwaka. UGHABUNI KAZI KATIKA MEDIA INALIPA HASA UKIWA MAHIRI KATIKA MAENEO YAKO YA KUJIDAI.
ReplyDelete