ndugu Michu
Nimeona hii kazi kwenye VOA (Sauti ya America) naomba ibandike ili wadau wenye qualification waombe.Lakini inabidi atakaeomba awe sharp sana kwasababu maombi mwisho tarehe 24 mwezi huu.
International Broadcaster (Radio)(Swahili)
All the best kwa wadau.
MdauUSA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. teh teh teh teh mnaona mishaara yetu hiyo....Kubeba mabox kunalipa jamani

    ReplyDelete
  2. Wala msihangaike ku-apply. Wamekwishachaguliwa mnapoteza muda tu. Waliochaguliwa ni marafiki na ndugu wa waliopo pale tayari. Kuna moja aliingia huko kwa kugawa nyeti zake.

    ReplyDelete
  3. mhhhh tuplionyu acha ngebe.mIMI nina swali kuhusu mshahara huo unaolipwa kwa mwaka ina maana wanapigia miezi 12 au wanatoa miezi ya likizo

    ReplyDelete
  4. Anony wa September13, 2008 3:23 PM, Kwani sheria za full time employment zinasemaje? hata Tanzania huko nyumbani! kwani ukiwa likizo huwa hulipwi mshahara? huu ni wa miezi kumi na miwili hivyo igawe hiyo figure by 12 uone ni kiasi gani kwa mwaka, kwanza ni mshahara mdogo sana ukilinganisha na vyombo vingine vya habari, ni mdogo kwa sababu nahisi ni radio ya serikali, mali ya umma kama vile radio Tanzania, wanategemea ruzuku toka serikalini. Kuna watangazaji wa vyombo vingine wanapata mshara mkubwa kuliko hata RAIS BUSH mara zaidi ya tano kwa mfano NATASHA KAPLISNKI wa Channel 5 UK TV kama sikosi kazi yake ni kusoma taarifa ya habari tu na pengine kushiriki katika kuitayarisha behind the scene anapata £1,000,000.00 kwa mwaka sawa na $2,000,000,.00 sawa na Tshs 2,300,000,000.00 yaani Tshs billioni 2.3 kwa mwaka. UGHABUNI KAZI KATIKA MEDIA INALIPA HASA UKIWA MAHIRI KATIKA MAENEO YAKO YA KUJIDAI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...