duka jipya la arise beauty supply
mavituzzz
vituzzz kibao
bath showers
viatuzzzz
arise beauty supply, ambaye anatingisha jiji kwa pafyumu na mafuta na mavituzzz toka marekani katika duka lake la sinza, hivi sasa amefungua duka jipya kabisa sehemu za msasani kwa mwalimu nyerere, ghorofa la kwanza shoto ukielekea rose garden. humo utakuta mambo orijino toka marekani ikiwa ni pamoja na viatu na nanihii za ndani kwa kinababa na kinamama.
arise ndiye mfadhili wa mdau atayebahatika kuwa wa milioni 5 katika kutembelea globu ya jamii, tukio linalotarajiwa kuhitimishwa muda si mrefu ujao, maana spidi ni kali kinoma.
kama kawaida ya globu ya jamii mdau wa milioni 5 atadaka dola 500
kwa hisani ya
Arise Beauty Supply
Cell: 0784 521 171/0784 456 046
web: www.arise-tz.com


Hongera Mdau Arise kwa ujasiriamali.
ReplyDeletekaka michu!..bath showers??!!..
ReplyDeleteMdau wa pili umesema kweli nilikuwa sijaona hiyo, kaka Michuzi haziitwi bath showers si uulize inaitwaje kakaangu?
ReplyDeleteYaaa anon apo juu Bath na Showers ni tofauti. Hongera zangu pia kwako wewe mjasilimali wa Arise. Kazi nzuri na ubarikiwa kwa moyo wako wa uwekezaji kwenye hiyo biashara ya vipodozi orijinali.
ReplyDeletego,go,
ReplyDeletehayo ni mambo mazuri jamani.
ubarikiwe mwenye arise na uzidishiwe,,..
kazi nzuri hiyo
Michuzi huwa ana kizungu chake cha glob - lakini na saa nyingine pia anachapia, -:)
ReplyDeleteLakini safari hii Michuzi kaandika tu kama ilivyo kweye chupa. maana naona chupa imeandikwa bath shower., naona labda hii product waweza kuitumia ukiwa kweye shower, au ukiwa una-bath ndani ya bath tub,otherwise wadau changieni...
Michuzi, Je wana simu ya duka niweze wasiliana nao kabla ya kwenda? Mafuta ghali nataka nijue kama ninachohitaji kipo kabla sijaenda huko. Aksante!
ReplyDelete