
Tarehe 18 mwezi wa 10 saa 12 jioni.
Madhumuni ya mkutano huo ni kuundwa rasmi kwa jumuiya ya Watanzania Manchester, siku hiyo viongozi wa jmuiya hiyo watachaguliwa Tunawaomba Watanzania wote kuhudhuri siku hiyo iliwaweze kushiriki katika kuchagua viongozi wa jumuiya hiyo, kufika kwako ndio kufanikisha shughuli hiyo tunaomba unapopata ujumbe huu waambie na Watanzania wengine.
Kiingilio ni bure, vinywaji na chakula vitatolewa bure pia,
karibuni sana.
Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana na
Daudi Mwakimwagile 07534499405
Hamphrey Mhada 07523457951
Modibo Keita 07961797910
Herman Livingstone 07899806500
Mambo si hayo! Watanzania wa Manchester kwa mtaji huu tunawapongeza na kuwatakia kila la kheri kuunda jumuiya ya Watanzania kama hiyo mnayokududia bila kubaguana. Kama kuna sifa moja ambayo huwa inawabainisha wabongo kutoka kwa mataifa mengine ya kiafrika wanapokuwa ughaibuni ni kutanguliza huo utanzania (utaifa) kabla ya mengine yote. Ninawafagilia kwa asilimia mia.
ReplyDeleteMambo si ndio hayo sio CCM CCm CCM.
ReplyDeleteWatu wakiwa nje ya nchi wote ni wa moja no matter chama unachokipenda huko nyumbani Nashangaa sana CCM ikikomalia kufungua mashina nchi za watu.
Au ndio ile wanasema desperate mind...
Wahindi, wanigeria na wakenya wamekuja huku toka miaka ya 30 lakini huoni hata siku moja wanafungua nyama na maendeleo yao huko kwao tunayaona.
Siye generation ya kwanza imekuja mika ya 70 na leo tunaanza vyama....Kama sio kutafuta haja ya kutugawanya nini nini ninii
UMOJA HUO TUTAKUJA WENGI
Tanzania HOYEEEEEEEEEEEEEEE
Samahani kama nitaonekana mbaguzi. Nimeelewa kuwa ni mkutano wa wabongo sasa "hiyo Modibo vipi na hiyo Keita vipi" - au ni majina tu yamefanana na ya watu wa kule nanihii...
ReplyDeleteannon wa 10.25am,,,hahahaaaaa modibo na keita,,aya watueleze au ndo baba nanihii na mama m-Tz??
ReplyDeletejaman hongereni saaaana wa-Tz inapendeza sana kuwa na umoja nchi za mbali ili muwe na na mawazo +ve kujenga Tz,,,na kuendeleza uzao
kila la kheri
Wana wa Manchester "IWAPO" mnakutana kuanzisha jumuiya ya kusaidiana wakati wa Sherehe na Shida mnapoteza muda wenu.
ReplyDeleteNawasihi muanzishe Jumuiya ya Kibiashara au Uchumi.
Kila Kheri.