Kutokana na maombi ya Watanzania ambao wapo katika mfungo wa Ramadhani mkutano wa Watanzania wote Manchester na Vitongoji vyake tarehe 13 mwezi wa 9 umesogezwa mbele mpaka mwezi wa 10.
Kamati ya maandalizi itakapopanga tarehe mtafahamishwa mapema iwezekanavyo.
Samahani kwa usumbufu kamati inajaribu kuwashirikisha Watanzania wote katika hii shughuli ya kuwa na jumuiya hapa Manchester.
Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana na
Daudi Mwakimwagile 07534499405
Hamphrey Mhada 07523457951
Modibo Keita 07961797910

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inaonesha huu mkutano hauna watu nini, yaani kina willium hamupo kabisa kuitikia wito hadi unahamishwa? Or jamaa wameanzisha michango kwamba munakimbia? or mafisadi munahofu kuonekana?

    well kama hawafiki achana nao kwani yaonesha hawana haja ya unachowaitia. Bado wapo wapo kwanza. wakikwama utawaona hao wanaomba michango.. and that should be the day yakuwapa agenda zako.

    G7
    UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...