BAADA YA MAKAMUZI YA SHOO MBALIMBALI NDANI YA UK MR BLUE AMALIZIA HASIRA ZAKE KWA SHOO YA MWISHO NA BONGODJS KABLA YA KURUDI TZ WAKAZI WA READING SLOUGH OXFORD NA SWINDON
JUMAMOSI HII
06/O9/08
NDANI YA READING
KINGS TAVERN
OPPSITE TVU,
KINGS RD RG1 4JL

SHOO YA NGUVU WOTE NNAKARIBISHWA

KUANZIA 10.00PM MPAKA ASUBUHI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hivi hao wabongo wa Reading wao hawakuhuona mwezi?

    ReplyDelete
  2. HAWAKUONA WALIONA MWAKA.....DINI YAKO ISITUKOSESHE SI WENGINE STAREHE. UK SIO OMAN

    ReplyDelete
  3. tena dj wao muislam kabisa

    ReplyDelete
  4. kwani kila mtu mwislamu hapa uk we vipi, na sio lazima otoe comment kwa kila kitu

    ReplyDelete
  5. Hiyo Asubuhi ya Hapo Reading manake 0300Hours..

    ReplyDelete
  6. Ah mwezi mtukufu huu wa ramadhan anapiga show ? Kwanza hivi huyu mtoto bado anaimba tuu? I thought his career was over he never had a hit besides "Najua nakumiss" or whatever.

    ReplyDelete
  7. PEOPLE TRY A LITTLE BIT OF THINKING B4 WRITING PUMBA IN A PUBLIC SITE! C WENGINE WALOKOLE MNATUAMBIA HABARI ZA MWEZI!AHHA!

    ReplyDelete
  8. tatizo letu sisi wabeba box akili zipo ktk pesa mungu tunamsahau, mpaka tukifa ndio tunajazana kanisani kumuomba mungu kama vile msiba uliopita pale Reading, Kumbukeni nyie maDj ni watu na mmeumbwa na Allah basi jaribuni kuheshimu hata Mwezi wa Ramadhani.

    ReplyDelete
  9. Hata hivyo Blu sasa hivi ana jipya, akipiga show maisha club ali kiba akapiga leaders club hawezi kupata vichwa.

    ReplyDelete
  10. na hako kamr.blue na kaustaadhat. bora kaimbe kaswida mziki umemshinda, hajui kuperform live. amuombe ushauri ali kiba

    ReplyDelete
  11. Ajira kwa watoto jamani haka katoto mama yake amekubali kaache shule ili apate kula

    ReplyDelete
  12. jamani huyu blue yeye ana dini gani mwezi huu watu wanaomba toba yeye kaingia uk kuja kutafuta midhambi katika mwezi mtukufu wa ramadhan tena mpaka asubuhi klama kasimama siku kucha kuomba duwa duh hlf waislam kibao rading na slough wanakula hakuna dini hapa wanazinguwa tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...