Home
Unlabelled
moko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakumbuka enzi zangu nilikuwa sina chochote kichwani wakati wa Mock. Highschool Tanzania wameiweka ngumu lakni inasaidia kwani ukifika chuo unakuwa umekomaa.
ReplyDeleteHahaahaha! Ndugu yangu naona anang'ata kucha, atangata sana safarihii hahaha! kazi kweli kweli. Mie zangu ilikuwa kugelezea tu nasimamia beskeli kubwa sikalii kiti, katika historia yangu nime pass vidudu tu nili pasi kunywa Uji ni wa kwanza mtoto mzuri kwenye kula, msingi watoto darasa 100 mie natokea wa 99 kuna mmoja alikuwa haji shule siku ya mitihani pengine ningekuwa wa 100 angekuja ningejuwa. Secondary niliwambia wazee wasijisumbue kutowa pesa sio fani yangu kusoma shule wanipe pesa nianzishe mtaji waninunulie camera nipige picha watu soon na mie nitaanzisha blog. bora hawa wamekubali kusoma kuliko walioenda nchi za nje kupoteza pesa za wazee wao. from Elimu ni Muhimu ya Akhera ndio muhimu Zaidi plz tusome hivyo hivyo. HAhaah! Giggs Sumbawanga.
ReplyDeleteMtoa maoni wa 10:28 maneno yako yamenifanya nicheke saaaana
ReplyDeleteWewe Sumbawanga naona unagubu na roho inakuuma sana sorry you can't turn the clock...kwani tuliokuja kusoma nje ya nchi inahusu nini na hii picha?????Na unajua matokeo ya elimu ya watu hao au tumearchieve nini katika elimu hio tuliopata? peleka desparation zako somewhere else.
ReplyDeleteKila siku ni watuwalioenda nje kusoma, watu walioenda nje...blah blah blah....mnapoteza muda ...who are you to care so much?
Hahaaha! Anon 10:28, kweli anachekesha tu Annon sept 06 6;55 wacha gazabu mwenzako anachekesha tu si umeona kamalizia tusome anafanya jokes, mbona ndugu yangu imekugusa sana? pole sema jokes yake sehemu zengine ina Point jamani. sizani kama amemanisha wote lakini kakosea tu labda kuandika vizuri anaweza kurudisha masaa nyuma kama alivyosema alimu bado ipo tusome. wenzako tumeufuraikia wewe tu. angalau kasema ukweli inaonesha anafanya anachoweza. kuliko angekaa tu.
ReplyDeleteJamani kwa niliowauzi nawaomba msamaha mie nimefanyia Utani tu hapo kufurahisha baraza. si wote wanaoenda nje hawafanyi vizuri ni jokes na wapa nguvu za msome, plz ndugu yangu chini hapo usiwe na hasira. mungu atakusaidia utusaidie na sie kazi utazidi kufanikiwa, tusomeni tujitahidi kama nilivyosema tusomeni ya dunia na akhera ndio zaidi, mdau wenu wa 99 chini ya 100 mzee sumbawanga.
ReplyDeleteMimi namuunga huyo hapo juu Joke zingine ni Sarcasm.
ReplyDeleteKila kukicha kuna mtu anatilia kitu kuhusu watu walio nje ya nchi sijui wamewakosea nini?
Nchi nyingine wanafurahia watu wao wakipata nafasi ya kuenda nje kuishi, kusoma au kufanya kazi lakini Tanzania ni vice versa.
Globalization ni muhimu
watu wanao mindika ni wale wazazi wao ni wezi serikarini na sio wale walioenda kwa bidii ya wazazi wao au wao wenyewe.
ReplyDeletetena naongeza viongozi wote afrika hawajengi nchi zao kwa kutegemea kutuma watoto wao nje kwa mfano mwalimu ni mtu wa mwisho mwisho sana tz. wakati tunategemea afundishe watoto na waje kuwa viongozi kesho hawafanyi hivyo na kinyume chake wanafungua shule za kulipia kwa wingi ili wapate faida sasa hii inaleta maana gani?
jibu ni kwamba wanajiangalia wao tu. pili huduma ni duni sana mahospital ila wao wakiugua wanakimbilia nje je mtu asiye na uwezo yeye si binadamu?
mbona huko wanakokimbilia mbona wao huwa hawaji afrika kutibiwa wao wakiungua?
kumbe wanapenda vitu vizuri? basi waweke huduma nzuri kwa wote. tena kunawatu wasio nauwezo wanakosa saport wa mambumbubu wengi kufuja pesa za wavuja jasho ila wataenda kujieleza vizuri kwa muumba wa hao wavuja jasho.