
Dear Sir/Madam,
I hope you do not mind contacting you but I wonder if you may be able to help us. I am the charity administrator for Facing The World which is a UK charity that provides facial reconstructive surgery to children in the developing world with severe facial disfigurements who are unable to access the treatment that they need in their own countries.
Our entire medical team donate their services and Facing the World covers the hospital, transport and other costs.
For more information please see our website
We have a young boy, Mbakara (12 yrs) and his mother arriving from Bagamoyo in October.Mbakara’s story is that he was born with a small swelling behind his ear which grew slowly but steadily until he was 10 when it seemed to grow much faster. The biopsy confirmed that it’s a Cystic Hygroma. He was admitted various times in the local hospital where doctors have tried their best to treat him but sadly this was not possible.
We are desperate for a number of things:
1) Host families to volunteer for his stay in the UK during all the medical procedure.
2) People to volunteer for the first 2 weeks (at least) of his stay in the UK- there will be a number of appointments, scans etc and we will need (informal) translators. There will be no need for very advance levels of English as all language used will be the language that doctors use to “mothers” rather than to other doctors.
3) People to visit both Mbakara and particularly his mother as they will be lonely and scared. Facing the World – as a charity- covers travel, hospital, living- and if necessary accommodation- costs for all our patients and their guardians while they are in the UK.
However as a charity we are obviously always grateful for any support that we can receive. We are also happy to process donations made for our patients futures (i.e. schooling etc) through the charity too.
Mbakara will need to attend the hospital school daily at the Chelsea & Westminster Hospital so arrangements will need to be made for him and his mother to travel to the Chelsea daily.
If you could help us in any way or could forward this message on to anyone you believe could assist us please do let me know.
Thank you for your time and I hope to hear from you soon.
Kind Regards
Rebecca Brady
Facing the World
London Serviced Office,
266 Fulham Road,
London,
SW10 9EL,
Great Britain
+44 (0) 207 352 00527
+44 (0) 207 352 6702
+44 (0) 77 2035 0817


Acheni masiala hili tangazo lilitoka mda mrefu sana na nikasema jamani yale mashina ya ccm yaliokuwa yanafunguliwa kwa mbwembwe sasa huu ndio wakati wakujionesha kama kweli mnajali nchi na raia wetu basi msaidieni huyu kijana sehemu ya kufikia.
ReplyDeleteKwavile mda umekwenda nikajua amesaidiwa sema siku picha ya katibu mkuu wa ccm london bi susan mzee kutoka humu nikasema kama yeye kakaribishwa na watu wengi hapa dar basi na yeye ampokee kijana wetu huyo anayekuja huko kutibiwa.
Sasa leo nashangaa tangazo limetoka tena kwamba kijana bado hajapata huo msaada.
Jamani watanzania wenzangu sana,sana wale wenye mashina ya ccm tuonesheni kwamba kweli mna malengo ya kutusaidia nchi yetu baadae kwa kumpa msaada huyu kijana wa sehemu ya kufikiana itawasadia kwenye record tutaona kweli mashina yenu yana nia njema.
Naamini bi susan mzee utalishughulikia hili swala.
Mdau mzawa
na kweli maneno yako chama tawala hiki nyumbani kinashindwa kutusaidia sasa huyu kijana keshapata msaada kwengine angalau waoneshe ubinaadamu hiyo kukaa nao au kutafsiri.mashina hayo ya ccm na ubalozi tuonesheni ubinaadamu wa ccm.
ReplyDeleteJamani kwani embassy ya Tanzania inafanya vitu gani huu ndio wakati wa kusaidia watu ambao hawana ndugu nchi za nje especially wakiwa kwenye wakati mgumu wa matibabu kama huo.
ReplyDeletemashina hayo ni ya kujitangaza ili wakirudi bongo iwe rahisi kupata kazi......hakuna kitu kingine hapo. Nashangaa hata ubalozi uko kimya.....nilitegemea wenyewe kuwa mbele hata kuorganise watanzania ili harambee ifanyike kumsaidia kijana wa watu.
ReplyDeleteIs embarassing na most of hizi diplomatic mission za Tanzania wanajijali wenyewe tuuuu!
Mama Maajar chonde chonde organise Harambee tuchangie na kubrain storm nini cha kufanya kusaidia!!!!
Kwa wale watanzania walio London msaidieni huyu kijana, wenzetu wamejitolea matibabu sasa tunawaomba akina Ayoub Mzee, Charles Hillary, Suzan Mzee, bibi Majaar na wengineo wengi waoneshe uungwana kwa hili, kama alivosema mdau alotangulia hili ombi liko muda mrefu sasa, Hizi Jumuiya za WaTz hii ni moja ya jukumu lao kama watanzania kumsaidia huyu mtoto wa kiTanzania.
ReplyDeleteKumbe vyama vya Watanzania ni kwa walionacho tu! wasiokuwa nacho they are nobody! Nyie watanzania wa UK mmekuwa mnaandaa mikutano mingi tu, party nyingi,miss TZ UK, Kikwete, Shein, etc wamewahutubia mara kibao, sasa hii issue ya kumsaidia Bwana Mdogo ambaye ni mgonjwa kweli mmeshindwa??? I'm so pissed off! Tanzanians in UK plus our Embassy shame on you!!!
ReplyDeleteSiamini kuwa hawa wanaojifanya hawajui vumbi ni nini, kujitangaza kila siku tuko UK, wanashindwa hata kumpokea MGONJWA? AIBUUUUU!!! Michuzi, wakiendelea kuuchuna, achana na kutuwekea matangazo yao ya CCM sijui tawi la wapi UK. Wakija Dar wanajifanya ma sper star kukutembeleo uwatoa kwenye blog, shenzi kabisa! Mpokeeni mgonjwa!
ReplyDeleteJamani mi nadhani hapa swala la ubinadamu ndo zaidi sio mambo ya CCM!hebu tujaribu kujiweka katika hiyo situation ya huyo mtoto jamani, unaona jinsi watu wanavyosukumiziana kukusaidia, inauma. Mi nadhani nyie mlioko huko mlioguswa mnaweza mkaji-organize mkawasaidia hawa ndugu zetu jamani, ndo baraka zenyewe hizo. Ukiangalia msaada wenyewe unaohitajika wala c mkubwa.
ReplyDeleteNajitolea kusaidia kwa kadri nitakavyoweza. Wahusika wawasiliane nami kutumia email hii marc69marc@hotmail.com kwa maelezo zaidi. Thanx mdau UK.
ReplyDeleteMy fellow Tanzanians plus our Embassy in UK please do something for this little dear boy who is our fellow Tanzanian. Mbaraka, I'm wishing you all the best!
ReplyDeleteMdau,
Gothenburg,
Sweden.
Kwa maoni yangu tu mafinyu ni kwamba msaada unaombwa kwa mtu yoyote yule si lazima mtanzania, lakini ingekuwa vizuri nkama angepatikana mtanzania kwa vile ku-absorb cultural shock kutoka kwa hao ndugu zetu watakaoenda kwenye matibabu, kwani watakuwa na furaha zaidi wangepata mwenyeji mtanzania. Huu ni wakati wa serikali yetu kuonyesha kujali wananchi walipa kodi, mara nyingi nimesema kuwa serikali zetu ni za wachache waliojaliwa si zetu wote hasi sisi walala hoi, uzalendo ni kwao tu si kwa sisi sote. KUNA MWANAFALSAFA MMOJA WA KIINGEREZA ALIANDIKA KITABU KUHUSU DUNIA YA WANYAMA, AKASEMA WANYAMA WOTE NI SAWA LAKINI WAPO WENGINE NI SAWA ZAIDI KULIKO WANGINE, tunabalozi UK na balozi kazi yake nini? kuhudumia mawaziri na rais tu! wananchi wa kawaida je? mwisho, watanzania kwa hujumla hatupendani wala kushirikiana hasa tukiwa nje, hatuna utamaduni wa harambee, ni vigumu sana kusaidia mtu nje ya familia, tabia ambayo si nzuri ulimwengu wa leo. Michango au mapesa mengi tuyosaidiwa na nchi za nje tungejuwa, huwa yanachangwa na masikini kama sisi kusaidia dunia ya tatu. Pia maisha ya ulaya si ya asali, lulu na dhahabu kama watu wanavyovikiria, tusione watu kwenye internet wanaonyesha ni maisha ya mito ya maziwa, kwa wengi ni magumu, watu wanakaa nyumba moja sema ya vyumba vitatu watu hadi kumi, wanalala kwenye mokochi, hivyo itakuwa vigumu kukaribisha mgeni tena mgonjwa ambaye atatakiwa malazi mazuri, UBALOZI ni jawabu sahihi na ninahisi yupo ofisa maalumu na hii ndiyo kazi yake. KUNA MSEMO WATU WANASEMA UKITAKA KUMALIZA MATATZO YOTE HAPA DUNIANI NI UWE RAIA WA USA AU UK, KWANI HATA UKIENDA UGENINI UKAPATA MATATIZO MAKUWA KIASI GANI WATAKUJA KUKUOKOA, HIZI NCHI ZINAWAWEKA RAIA WAKE WOTE MBELE NA SAWA.
ReplyDeleteMdau wa UK, September 06, 2008 10:43 PM uliyekubali kumsaidia huyu kijana wetu kwa kadri utakavyoweza, asante sana. God bless you!
ReplyDeleteMdau,
Gothenburg,
Sweden.
chonde chonde jamani tumsaidieni huyu kijana, mimi nina vyote vya kumsaidia lakini ndio nimeshajiwasha hivyo roho yaniuma kweli maana huyu ni mgonjwa tatizo kama hili wanalo wengi watu wako hapa uk wananyumba lakini washajiwasha hilo ndilo tatizo chamuhimu afatwe huyo barozi aelezwe face to face tuone jibu lake ukisema hao ccm, nawaona wachovu tu bora hata yamie mkimbizi wanachokijua kula nyama tu jeuri hiyo ya kumpokea mtu hawana.
ReplyDeleteMdau wa hapo juu unaesema umejiwasha kwa hiyo huwezi kumsaidia kwani uliambiwa hao watu ni home office watakuuliza ukaaji wako na hata ukiwa umejiwasha kwani wewe huna jamaa ua ndugu wa kukutembelea usiongee pumba kama huwezi kusaidia kaa pembeni sio unazungumza pumba. Cha zaidi tumshukuru huyo mdau wa uk aliejitolea. Wewe kaa kimya usituambie utumbo wako.
ReplyDelete