wadau wa holland wanajiandaa vilivyo kula iddi kiaina mwaka huu. mambo yote kwenye bango...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Nimependa hilo neno suprise kwenye hicho kipeperushi hadi basi.Kwikwikwi.bwaaaaaa

    ReplyDelete
  2. jamani bongo tumeendelea..enzi zile waislaam wote wangeendamana kwa mtu kuweka picha ya idd na kichupi hapo.......

    ReplyDelete
  3. jamani huu mwezi mtukufu tusiweke picha mbovu..wengine tumefunga!

    ReplyDelete
  4. Tukishakula ftari tunaweza kuja kufanya lolote lile,iwe kunywa pombe,kufanya ngono;
    Hold on-mwezi wa ramadhani ukipita ni ruksa kufanya mtakalo sio kipindi hiki cha "kuungama" a.k.a mwezi mtukufu wa ramadhani.Tuachieni mwezi wetu huu.
    It's funny how Imani works out.

    ReplyDelete
  5. Ubovu wa picha uko wapi? si hii ni picha ya binadamu, kiumbe mwanamke, ambaye ni binadamu mwenzetu na huwa tunao kila siku!! Kusema ni picha mbovu ni kuwadhalilisha na kuwanyanyasa wanawake.

    ReplyDelete
  6. Kumbe ndo maana kila siku mkisikia neno Club mnatoa macho kwa ajili ya mwezi mtukufu.

    Kam amambo yenyewe ndio hayo kwenye picha jee club zenyewe humo ndani?

    Mimi dini yangu haina cha mwezi mtukufu wala nini party hizo hatuzipalilii kabisa iwe mwezi gani sijui.

    ReplyDelete
  7. Mchangiaji wa 8:10 UTAJIJU!!! nakwambia utajiju mtoto wa kiume, wacha watu wale raha zao kwa kwenda mbele, hiyo siku ya siku watajua mbele kwa mbele, halafu muumba mwenyewe hana hasira kwa taarifa yako, watakiri na pia atawasamehe. Teh,teh, teheheeee.

    ReplyDelete
  8. Samahani ndugu zangu wapendwa, kuna jambo lina nitatiza hapa kidogo, Hivii, hawa wadada wanaoweka picha zao kama huyo kweli wana wazazi??? kweli wana ndugu??

    ReplyDelete
  9. salaam ndugu wote,kaka michuzi picha kama hizi ulikuwa usiweke mwezi kama huu vuta subira kidogo maana unapata dhambi wewe na wanaoangalia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...