Home
Unlabelled
mtanange wa iddi holland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimependa hilo neno suprise kwenye hicho kipeperushi hadi basi.Kwikwikwi.bwaaaaaa
ReplyDeletejamani bongo tumeendelea..enzi zile waislaam wote wangeendamana kwa mtu kuweka picha ya idd na kichupi hapo.......
ReplyDeletejamani huu mwezi mtukufu tusiweke picha mbovu..wengine tumefunga!
ReplyDeleteTukishakula ftari tunaweza kuja kufanya lolote lile,iwe kunywa pombe,kufanya ngono;
ReplyDeleteHold on-mwezi wa ramadhani ukipita ni ruksa kufanya mtakalo sio kipindi hiki cha "kuungama" a.k.a mwezi mtukufu wa ramadhani.Tuachieni mwezi wetu huu.
It's funny how Imani works out.
Ubovu wa picha uko wapi? si hii ni picha ya binadamu, kiumbe mwanamke, ambaye ni binadamu mwenzetu na huwa tunao kila siku!! Kusema ni picha mbovu ni kuwadhalilisha na kuwanyanyasa wanawake.
ReplyDeleteKumbe ndo maana kila siku mkisikia neno Club mnatoa macho kwa ajili ya mwezi mtukufu.
ReplyDeleteKam amambo yenyewe ndio hayo kwenye picha jee club zenyewe humo ndani?
Mimi dini yangu haina cha mwezi mtukufu wala nini party hizo hatuzipalilii kabisa iwe mwezi gani sijui.
Mchangiaji wa 8:10 UTAJIJU!!! nakwambia utajiju mtoto wa kiume, wacha watu wale raha zao kwa kwenda mbele, hiyo siku ya siku watajua mbele kwa mbele, halafu muumba mwenyewe hana hasira kwa taarifa yako, watakiri na pia atawasamehe. Teh,teh, teheheeee.
ReplyDeleteSamahani ndugu zangu wapendwa, kuna jambo lina nitatiza hapa kidogo, Hivii, hawa wadada wanaoweka picha zao kama huyo kweli wana wazazi??? kweli wana ndugu??
ReplyDeletesalaam ndugu wote,kaka michuzi picha kama hizi ulikuwa usiweke mwezi kama huu vuta subira kidogo maana unapata dhambi wewe na wanaoangalia.
ReplyDelete