Wiki mbili tu zimebakia !
Unakaribishwa kwenye semina ya neno la Mungu itakayongozwa na watumishi wa Mungu kutoka Tanzania Ndugu Christopher & Diana Mwakasege pamoja na KRYSTAAL BAND kutoka CANADA.
Tafadhali sana fanya uwezalo na tunakuombea kwa Mungu ili usikose semina hii ya kipekee na ya baraka kwetu sote !.
LINI ?:September 12-14 2008
WAPI ? : DALLAS,TEXAS,
Marriott Residence Inn,
7642 LBJ FreeWay,Dallas TX 75251.
GHARAMA JE ? :Malazi na chakula vitatolewa bure kwa wale wote wanaotoka nje ya mji wa Dallas.Tafuta tu namna ya kufika !
Nafasi za kulala hotel mpaka sasa zimebakia chache sana kwa hivyo unaombwa kujiandikisha haraka ili upate chumba chako hapo Marriott hotel ...!
Unaweza kujiandikisha kwa kuandika email kupitia email adress hii :- KULA.MANA@YAHOO.COM
Au kwa kupiga simu zifuatazo:-
214-440-9674//469-233-6627//214-554-7381// 682-552-6402// 651-334-0163//678-982-2113//404-935-1615//312-823-5878//214-505-8514//978-726-2227//402-770-6376.
Njoo ukutane na nguvu za Mungu katika Semina hii ambayo inaenda kubadilisha maisha ya wengi....!!
Mtaarifu na mwingine juu ya ujumbe huu...!
Kwa maelezo zaidi juu ya huduma ya Watumishi hawa wa Mungu unaweza kutembelea

WWW.MWAKASEGE.ORG
KARIBU-SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...