toka shoto nyuma: *max madebe (mfanyakazi), *sam mmbando (shihata), *vicent urio (daily news), *john makwaia (maelezo), *mwalimu, mwanakombo jumaa (maelezo), juma dihule (shihata), nanihii (avi), *adinani mihanji (shihata), john lukuwi (maelezo).chini: nanihii, sam kagonji (maelezo), boaz mpazi (shihata) moshy kiyungi (maelezo) na raphael hokororo (maelezo)
wote wanye alama ya * ni marehemu


kumbukumbu nzuri sana, Kwa ambao ni marehemu R.I.P. Kwa walio hai, I wish you all the best, hopefully you are transfering your knowledge and experience to upcoming photographers.
ReplyDeleteMdau,
Gothenburg,
Sweden.
Kama * ni marehemu, mbona hujamuwekea mwalimu?
ReplyDeleteBaada ya Mwanakombo huyo si Dr Daudi Balali??
ReplyDeletehivi mwanakombo alianza kazi akiwa under 18 years?
ReplyDeleteAnonym. wa 8.06 soma vizuri ndio ubwatuke. Ala.
ReplyDeletehahahahaaaaaaa,teh teh teeeeeeh,,,uwiiii
ReplyDeletemmenivunja mbavu,,,
dah mmezifuma wapi izi pics!!!
kweli kuna watu awaomi vizuri kabla ya kuandika,,annon wa 8.06
heee Lukuvi kumbe ni paparazi???
HUYO NANII WA AVI ANAITWA SAILEN ALIKUWA MPIGA PICHA ZA SINEMA, HIVI SASA NI MKUFUNZI CHUO KIMOJA BINAFSI CHA UANDISHI WA HABARI.
ReplyDeleteHUYU NANIHII WA KWANZA CHINI ANAITWA KUMBUKA ALIKUWA DAILY NEWS KAMA SIJAKOSEA NA ALIKUWA ANAISHI ILALA , NAYE NI *
ReplyDelete