Home
Unlabelled
timu ya taifa ya vijana miaka ya 80
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kulia kabisa waliochuchumaa ni Raha Msigala alikua simba.Sasa hivi ana kitambi cha kufa mtu
ReplyDeletekulia kabisa waliochuchumaa ni Raha Msigala alikua simba.Sasa hivi ana kitambi cha kufa mtu
ReplyDeleteChini wa pili kushoto SAIDI GEORGE (BEST) ama vipi? (dRU)
ReplyDeletemstari wa kati jamaa waiti mwenye afro ni Ahmed Amasha
ReplyDeleteWaliosimama wa pili kutoka kulia ni Zamoyoni Mogella(golden boy) na anayemfuatia ni Marehemu Albert Rweyemamu(betto)alichezea Simba miaka ya 80 na nitaendelea kuwaletea majina zaidi....
ReplyDeleteAle chchumaa hapo chini kushoto ni Sospeter Mwaluko alikuwa Maji Dodoma akaenda Simba. Wadau Mpo?
ReplyDeleteNapenda kusahihisha jamaa alimtaja huyo mwenye afro kuwa ni Ahmed Amasha la huyo ni nduguye anaitwa Abdul Amasha ezi zake kama captain wa Yanga B na Super Star wakazi wa muhimbili wanakumbuka hilo
ReplyDeleteheeee mbona mwatutia kizungu zungu??tulieni kwanza then mtupostie awa mashujaa wetu wa enzi izo ambao haitawai tokea kuwapata Tz,,,wachezaji wooote now ni chekechea mayai saaana
ReplyDeletekazi starehe,,na kocha anayekula km sikosei kodi wa wavuja jasho!!!ivi kikwete anatoa wapi mapato kuwalipa ao makocha wa nje??