supa modo cynthia masasi akipamba majarida ya umodo yaliyotoka mwezi wa pili

sikiliza mahojiano yake aliyofanya huko nyuma na radio butiama kwa kubofya hapa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Teh teh teh.........ngoja watoke kupanga box...:-) Michuzi mchokozi jamani..........

    ReplyDelete
  2. Dada unasema ulipenda kupigwa picha toka utotoni, na ukasema pia kwamba kipindi hicho ulipokua mdogo huwa kama huridhiki na picha, unamuambia mpiga picha pale pale kwamba piga nyingine?

    Digital camera hazina muda mrefu ambazo zinaonyesha pale pale. Sasa ulikuaje unamuambia mpiga picha kwamba sizipendi hizo wakati picha za wakati huo zinachukua muda mpaka zisafishwe?.

    ReplyDelete
  3. Kweli mademu wa Kibongo bomba sana sasa sijui wenzangu kwanini mnawakacha

    ReplyDelete
  4. Hii inaitwa magmypic.com. Huyu mtu hajatokea katika gazeti lolote. Ni kwamba unakwenda online www.magmypic.com unaweka picha yako katika templates za magazeti kadhaa, edit kidogo tu unapata kitu kama cha huyo dada.

    Huyu ni mzushi hajatokea katika gazeti lolote kati ya hayo aliyoyaweka. kukuthibitishia Michuzi na wadau wengine na copy moja ya picha za kikao cha ccm kutoka kwenye hii blog na kukutumia uipandishe.

    Huyu dada amezidi kujifanya supa star wakati hana lolote ni mzushi.

    ReplyDelete
  5. Mashaka mwingine huyu....Mbona watu kujitafutia umaarufu hivi. Mnatuchosha na mambo yenu..... magazeti ya online basi muweke picha huku...tukisema tuna tunaroho za korosho

    Mcheza ngoma hajisifii bwana watazamaji ndio huona....Subirirni mambo yenu yakishanyooka tutawaona tu....Muwadanganye huko huko bongo lakini mkumbuke siku hizi hamna siri hata wabongo watawashtukia tu

    ReplyDelete
  6. we retard Ngwengwe. Stop playa hatin. Hiyo picha ya juu ndio ya magmypic and it clearly says that for all of us to see. We ndio unajiona umegundua sana? magmypic kwani nani haijui? Au ndio umeijua leo wewe?

    Hiyo ya MIMI magazine it's real. Tembelea hapa: http://www.mimimagazine.com/2008/february/04-02-cynthiamasasi01.html

    Kwani kutokea MIMI Magazine ni hatari? Angetokea TIMES je?

    ReplyDelete
  7. Anony wa 4:35 pm umeongea ukweli. Sio kwamba tuna hate but huku USA ni Hasheem THabeet peke yake aliyeuona mwezi wengine wote tuko sawa na kelele kibao. Hana kitu huyu, hata kwenye video ambazo huchukuliwa machabgudoa wa huku; hachukuliwi tena.

    ReplyDelete
  8. NI KWELI HIYO SIO JALADA LA GAZETI LOLOTE NI UONGO MTUPU uNAWEZA KUFANYA "MAGMYPIC" HATA KWENYE VIJISTORE VYA " WALGREEN DRUG STORE" uNACHOFANYA NI KUPELEKA PICHA UNACHAGUA COVER LOLOTE WANAKUWEKA. Cynthia bwana wanaosoma michuzi sio walioko Bongo peke yao na usifanye watanzania wajinga. Wengi tulioko majuu tunaelewa hiyo technology ya "MagMypic" kama unafanya mafitu fanya tu lakini usilazimishe kwa kufanya watu wajinga. kila kitu na wakati wake, umekwisha umekwisha.

    ReplyDelete
  9. you people mnanichekesha with all your comments!hahaaa

    ReplyDelete
  10. Hivi wewe 6:14 pm MIMI ni gazeti nalo...Kwanza ni la online na pili kuna magazeti mengi sana USA yanakuwa publish na hata hayajulikani. Na hata kwenye college nyingi zina magazeti yao kila kona.

    Kama unaona hilo mimi ni gazeti la kukuwekea CV basi na wewe peleka picha yako huko. Wala hawaikatai wanaifanyia tu photoshop kidogo na wewe utajisikia kuwa ni model....

    It is too much with this cheap publicity.

    inaelekea majuu kumewaka moto watu wanajipalilia njia kupitia blog ya kaka yetu..Michuzi uwacharge watu siku hizi na matangazo yao.

    Ingekua kama zamani hamna kugoogle huyu angeenda bongo na hayo mapicha hayo yawe CV awaambie kuwa mimi nilikua model mkubwa sana huko USA huoni picha hizi teh teh teheteheeeeeee

    Wabongo wala msichacharike na hili. Tuko huku na tunawaona hawa watu kila siku the so called "6 figures", "models", "actor/actress" to name the few.

    ReplyDelete
  11. Anony wa 12:15 AM, mi ni anony wa 6:14, kama ulielewa point yangu usingejibu. Maana kutoka MIMI sio big deal maana hata pic yenyewe aliisubmit Cynthia mwenyewe. Nilichokuwa natanabaisha kuwa MIMI is a true magazine; the only fake pic ni ya kwanza, hiyo ndio ya magmypic. Na kwa kuongezea nikasema watu wanamind wakati kutokea MIMi ni kitu kidogo sana... u dig?

    Kwa kifupi, just let her be. Anajaribu kutoka. Sio kila kitu mpaka muongee wadau, eh

    ReplyDelete
  12. Bwahaahaaaaaaaa kweli dada unajua ku fake.

    MagMyPic.com - Fake Magazine Covers with your Photo! Novelty

    Cynthia dada kweli unapendeza lakini ukifikia hatua hii basi unajishushia hadhi yako.

    Nakupa ushauri usifanye tena mambo haya.

    Halafu kuna mtu aliuliza kuhusu kupigwa picha ulipokua mdogo hata mimi hapo inanitia utata.

    ReplyDelete
  13. Ni aibu mtoto wa kitanzania ambaye alikua na macho mazuri brown akavaa ya paka looooo mwenzetu huna lakufanya.

    ReplyDelete
  14. Michuzi yaani na wewe umepelekwa kijijini na umekubali wewe Cyncthia acha ushamba wako wewe...Hizo picha nani asiyejua kutengeneza peleka upuuzi wako sehemu nyingine sio hapa...Hizo picha kuna wesbisite mbali unaweza kufanya picha iwe hivyo au unauza sura....

    ReplyDelete
  15. nyote apa mna wivu tena wa kijinga kweli,,,nyamafu
    hamna la kuongea???kazi kukalia oooo wee dada cjui nini alaaaa

    kaka michu uwe unachuja izi comments basi

    ReplyDelete
  16. Mtu akipewa ukweli. Kaka michuzi uwe unachuja hizi comments.

    Mnapoteza nafasi za mambo mengi ambayo michuzi anhetumia kuweka na wengine tupunguze muda wa kusoma uchafu.

    Fanya mambo ya maana ya kuendeleza jamii uweke humu sio picha za kucrop, paste and touch up.

    Sasa watu wasingesema huko bongo si wangefikiri wow kweli this happen.

    Straight talk my dear. No haters here.

    ReplyDelete
  17. Ushauri wa bure kwako dada Cynthia...nimesikiliza mahojiano yako. Ushauri ni kwamba next time ukiwa unajua unakuwa interviewed basi jiandee. Sasa kama unaulizwa swali unashindwa kujibu, umeact movie gani hukumbuki jina, videos ulizokuwepo nyingine hukumbuki. Nafuu uweke list ya kila kitu kama possible questions kuhusu kazi yako kurahisisha mahojiano.

    Point nyingine ni kwamba hii interview inaonekana ni ya mwaka 2007 Michuzi, maana Deus anaulizia kuhusu kalenda iliyotoka 2007 na ujio wa Kikwete last yr, sasa Michuzi huna kitu current?? Halafu Deus eti ulikuwa unashauri Kikwete atumiwe hiyo kalenda? Kweli watanzania we have ways to go. The interview kwa kweli kuna a lot of questions....ila hiyo ndio feedback niliyoona niitoe kwa sasa.

    ReplyDelete
  18. Wewe dada weeee. Shukuru Mungu huku ni kwa Michuzi subiri wakuweke kwenye Utamu ndio utajua ukweli.

    Wacha hizo.

    Mbona kalenda huku easy ketengeneza? Hiyo Kalenda kwa vile kaweka kila kitu uani basi watu wampe Kikwete?????? Please

    ReplyDelete
  19. Yaani, you guys, kweli asanteni, sio wabongo peke yao wasio jua kuhusu kutengeneza picha kama hivi... mimi i live in the UK for 10 years now, i had no idea that one could do this, i saw this and i thought WOW kumbe bure, it is truly sad... Mdau

    ReplyDelete
  20. Ano September 12, 2008 12:40 PM
    Box linakupeka resi pole wee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...