wapita njia wakishangaa jengo ambalo limeegemea jengine katika mtaa wa zanaki hapa dar, bila shaka kutokana na ukali wa swaumu tehe tehe tehe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. huyu jamaa mwingine nilidhani ni PM Pinda

    ReplyDelete
  2. michuzi
    Hapa wadau wako wangesemaje?
    http://swahilitime.blogspot.com/2008/09/choo-cha-kizungu.html

    ReplyDelete
  3. hayo magorofa yote yanaojengwa kwa haraka haraka kisa tamaa ya pesa by 2020 mengi yatakuwa yameshadondoka.

    ReplyDelete
  4. JK asipotoa tamko kuhusu haya magorofa ya waasia na hatua madhubuti kuchukuliwa tutaisha manake wenyewe wamezoea kwao india kujenga magorofa feki. Kuna lile la Morgorogo Road nalo limeshaelemewa hata halijaisha!!hebu fikiria kaka mithupu hali hii

    ReplyDelete
  5. Mh..endeleeni kushangaa halafu liwabonde kiwe kimuhemuhe .....

    ReplyDelete
  6. Yaani Bongo ndo Ingekuwa Japan na Yale Ma-Earthquake ya Ritcher Scale 7.0, 7.2, 7.7, 8.1 Sijui Kama Kuna Kitu Kingesimama Hapo..

    Kuanzia Kipindi Cha Nasaco.. Architecture anasema nunua Nondo au Chuma Engineer ananunua Maplastic Magumu, at the end of the day Moto Ukishika Plastic Zinachochea moto

    ..Wabongo mnakuja kasi, taratibu!

    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  7. TO ALL NALITOLELAS

    Hata mimi ni Peter nalitolela nimemaliza mzumbe chuo kikuu last year tulikuwa na migomo ya kila mara lakini inshaalah tumemaliza. Hee michuzi kumbe kina Peter Nalitolela tupo wengi naona na mimi ninaishi Mbagala basi nimepata muda wa kuwasalimia kina Nalitolela wenzangu H.School nimemalizia St. Antony Mbagala najua watu wengi mtanikumbuka ingawa hatufahamiani lakini naomba wote nyie kina Nalitolela humu kwenye blogu tukutane inawezekana baba yetu ni muhuni kawachalaza mama zetu halafu katupa majina yanafanana mbaya zaidi katuweka katika mazingira ya kusoma Chuo kikuu kimoja Mzumbe sasa sijui ni uchawi ama ni nini? Mbona tunaanzakujuana leo na tumemalizia chuo kimoja? Mimi naona ni Uchawi...! halafu wote tulikuwa na akiri sana darasani!

    ReplyDelete
  8. Wewe nalitolela ndio nini kuweka post zako kila mahali. Kama unawatafuta ndugu zako kwanini usimtumie Kaka michuzi akakuweke huko? Kweli kuwa na akili Darasani ndio utupostie kila kwenye topic post yako...I doubt

    ReplyDelete
  9. Magorofa bila saruju.

    Wahindi wabahili sana wanabania hata saruji.

    Haya magorofa hao engeneer wamesoma wapi????????????

    ReplyDelete
  10. Hi,
    kaka tufuatilie hili jengo ili tujue kitu gani kinaendelea kwa sababu tayari watu wanaishi ndani so tunahofia maisha ya watu wengi kupotea. halafu ni jambo la hatari repoter kaonyesha mzaha nadhani si jambo la mzaha hili. Kaka michu nakuachia mpira tafadhali.
    mdau
    ETM

    ReplyDelete
  11. Naingana na Mdau hapo juu, Kuhusu mdhaha wa huyu reporter, kwakweli ni jambo la aibu na kushangaza kwa mdhaha wa huyu reporter kusema "Swaumu" wakati ni jambo la kutisha na la hatari kama hili!

    ReplyDelete
  12. the nalitolela person angalau kanipa nguvu to get back to my work na kunitolea uvivu baada ya kunichekesha hivi lol

    ReplyDelete
  13. Mukiwa Mlimani or UCLAS, DIT munasoma mukikamatwa munasema or nimeonewa , mwalimu alitaka chajuu or chachini ndio maana kanishika!!
    Munatumia mabomu kufaulu mitihani. Munatumia pesa kuwa registered contractors.

    So munashangaa nini?
    Just unapata kulingana na ulichopanda.

    G7
    UK

    ReplyDelete
  14. we G7 ni mhaya?

    Wadau hiyo ndio leaning tower of Dar... Pisa has got nothing on us.. LOL

    ReplyDelete
  15. G7 sio Mhaya, ni Mswahili safi wa pembezoni mwa bahari (swahili).

    Kama unaproblem na jinsi ninavyotumia MU.... go back to your swahili class. Kifupi that is standard swahili ingawa hutamkwa as if hakuna 'U'.

    Thanks,
    G7

    ReplyDelete
  16. Mh Kweli ndio naiskia leo well hakuna wewe inaelekea umejifunza swahili ukubwani kama wale wazungu wanaokuja bongo ila unajitaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...