
Mwana bulogu, kama una picha ambayo unaweza kuiita ni picha yako ya wiki unaweza kututumia ili tuweze kuipamba kwenye jarida letu kila wiki.
Toleo la nne la kijarida cha "Cheche za Fikra" liko mitaani na kwenye mtandao. Jipatie nakala yako kwenye
sehemu ya "Pics and Docs".
Ndani yake kuna habari kuhusu mauaji ya Albino, Hoja ya Mwanakijiji, vigogo wa ufisadi, maadili ya picha (hasa mambo yanayoendelea kwenye mitandao n.k Usikose pia nguvu za hoja!
Mhariri


Kulaani hakutoshi, inabidi kulaani kwa vitendo. Serikali imekaa kimya, sijaona chochote kinachofanyika kuwamaliza hao wanyama watu wanaoua maalbino.
ReplyDeletelakini sisi waafrika tuna yetu yasiona maana kabisa kama hili la waCongo kufunga mbuzi jela mi hoi...kongoli hapo http://news.bbc.co.uk/go/em/fr/-/2/hi/africa/7607460.stm
ReplyDelete